T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Ukweli ni huu,
Wakati katibu mkuu wa CCM akiwa Wilson Mukama, Nape alikuwa Katibu Mwenezi. Hawakufanya cha maana na hawakuwa wabunifu wala watendaji kazi ipasavyo na CCM iliendelea kuonekana kituko mbele za jamii.
Alipoondolewa Mukama akakabidhiwa kijiti hicho Comred Abdulrahman Kinana, Kanali mstaafu. Huyu ndio anapaswa kujinadi kwa mafanikio ya CCM ya leo.
Kumbuka hata juzi Dodoma wakati wa mkutano mkuu wa CCM, JK alipopewa nafasi ya kusalimia alisema kazi hii tuliifanya na Kinana. Ndio alikuwa msimamizi mkuu. I mean ukumbi wa mikutano ulipoitwa Kikwete hall. JK alitaka uitwe Kikwete na Kinana.
Sasa hapa Nape mbona haonekani? Kwanini yeye ajisemee mafanikio yake? Kwanini wasiseme/wamsemee wanaoyaona?