Kinana na Timu yake waendelea na ziara katika vijiji vya Jimbo la Masasi, mamia wajiunga na CCM

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Machombe ambapo alipita kukagua ujenzi wa Bwawa la maji litakalo saidia kaya 150 kata ya Marika jimbo la Lulindi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
Wananchi wa Kijiji cha Machombe wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara wakishangilia wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana anayetembea nchi nzima kukagua miradi mbali mbali ambayo zilikuwa ahadi za CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la maji akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mh. Farida Mgomi pamoaja na wanakijiji cha Machombe kata ya Marika.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi zilizorudishwa na wapinzani wakati wa kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Marika wilayani Masasi.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM pamoja na jumuiya zake wakinyoosha kadi zao juu wakati wa kula kiapo cha uanachama mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mikutano Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Marika ikiwa sehemu ya kujenga na kukiimarisha chama cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi ambapo alikagua maendeleo ya mradi wa maji wa Chiungutwa mradi ambao utasaidia vijiji 27,tarafa 3 ambapo watu zaidi ya elfu 60 watanufaika na mradi huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi-Taifa, Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa wilaya ya Masasi ambapo aliwapongeza kwa kutambua utapeli wa vyama vya upinzani katika kijiji chao na kuamua kujitenga nao kabisa.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa ambapo aliwapongeza kwa kuwa na Mbunge mchapa kazi anayejali wananchii wake,Kinana aliwaambia wananchi hao wahakikishe wanajiandikisha tayari kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Mbunge wa Jimbo la Lulindi ( CCM ), Jerome Bwanausi akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa na kuwaeleza maendeleo ya utekelezaji wa ahadi za CCM kwenye jimbo lake wakati wa mkutano wa hadhara ambao mgeni wa heshima alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge wa zamani wa mkoa wa Mtwara John Aidi aliyekuwa mbunge wa Mtwara miaka ya 75 mpaka 85 na aliwahi kuwa mbunge wa Masasi miaka ya 65 mpaka 70 akifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi na kuwaambia kila mtu kwenye utumishi wa serikali inabidi awajibike katika kufanikisha lengo na asiyeweza inabidi aachie ngazi alisema lazima tutangulize utumishi kwa umma.

Kadi zilizorudishwa kutoka kwa wananchama wa vyama pinzani ambao kwa hiyari yao leo wamerudi na kujiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama cha NLD-Taifa, Frank Rashid Maulano aliyejiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi.

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
nape nasikia na wewe umelamba mgao wa escrow...
Ndugu,
Ignorance is like a dark night and a good name shines in the dark!

Ignorance is a magnet for preconceived idea.

Tanzania haiwezi kuongozwa katika misingi ya kangaroo court.

Liacheni Bunge lifanye kazi zake ndani ya Kanuni za Uendeshaji wake na kama kuna watu watapatikana na makosa ya kimaadili na miiko ya kiuongozi itabidi washughulikiwe kulingana na taratibu na sheria za chama na nchi kama ilivyotokea kwa watendaji wengine wa chama na serikali.

[video=youtube_share;CGMG1EjE9yA]http://youtu.be/CGMG1EjE9yA?list=UUZzXal3S9VZ7 3yEBr8zlkfQ[/video]
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,519
2,000
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Machombe ambapo alipita kukagua ujenzi wa Bwawa la maji litakalo saidia kaya 150 kata ya Marika jimbo la Lulindi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
Wananchi wa Kijiji cha Machombe wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara wakishangilia wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana anayetembea nchi nzima kukagua miradi mbali mbali ambayo zilikuwa ahadi za CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la maji akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mh. Farida Mgomi pamoaja na wanakijiji cha Machombe kata ya Marika.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi zilizorudishwa na wapinzani wakati wa kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Marika wilayani Masasi.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM pamoja na jumuiya zake wakinyoosha kadi zao juu wakati wa kula kiapo cha uanachama mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mikutano Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Marika ikiwa sehemu ya kujenga na kukiimarisha chama cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi ambapo alikagua maendeleo ya mradi wa maji wa Chiungutwa mradi ambao utasaidia vijiji 27,tarafa 3 ambapo watu zaidi ya elfu 60 watanufaika na mradi huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi-Taifa, Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa wilaya ya Masasi ambapo aliwapongeza kwa kutambua utapeli wa vyama vya upinzani katika kijiji chao na kuamua kujitenga nao kabisa.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa ambapo aliwapongeza kwa kuwa na Mbunge mchapa kazi anayejali wananchii wake,Kinana aliwaambia wananchi hao wahakikishe wanajiandikisha tayari kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Mbunge wa Jimbo la Lulindi ( CCM ), Jerome Bwanausi akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa na kuwaeleza maendeleo ya utekelezaji wa ahadi za CCM kwenye jimbo lake wakati wa mkutano wa hadhara ambao mgeni wa heshima alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge wa zamani wa mkoa wa Mtwara John Aidi aliyekuwa mbunge wa Mtwara miaka ya 75 mpaka 85 na aliwahi kuwa mbunge wa Masasi miaka ya 65 mpaka 70 akifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi na kuwaambia kila mtu kwenye utumishi wa serikali inabidi awajibike katika kufanikisha lengo na asiyeweza inabidi aachie ngazi alisema lazima tutangulize utumishi kwa umma.

Kadi zilizorudishwa kutoka kwa wananchama wa vyama pinzani ambao kwa hiyari yao leo wamerudi na kujiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama cha NLD-Taifa, Frank Rashid Maulano aliyejiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi.

Mbona kama vile watu wachache huko?
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Naona kuna kina mama, vijana na wazee. Hii inadhihirisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha wananchi wote.

Hongera Mh. Kinana, Watanzania wenye nia njema na nchi hii tupo nyuma yako.
 
Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
2,000
Sema Mbuzi zimejiunga na CCM, uwezi kuwa unajitambua ukajiunga na CCM
 
MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Mbona kama vile watu wachache huko?
Ndugu,
Hiyo ni mikutano katika vijiji mbali mbali.

Wewe unadhani kijiji kinaweza kikawa na watu wangapi?

Katibu Mkuu wa CCM na Timu yake haimarishi chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2010-2015 katika makao Makuu ya Miji na Majiji pekee.

Kwa kukusaidia zaidi, Watanzania zaidi ya 70% wako vijijini.
 
Pesambilli

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
283
225
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Machombe ambapo alipita kukagua ujenzi wa Bwawa la maji litakalo saidia kaya 150 kata ya Marika jimbo la Lulindi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
Wananchi wa Kijiji cha Machombe wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara wakishangilia wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana anayetembea nchi nzima kukagua miradi mbali mbali ambayo zilikuwa ahadi za CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la maji akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mh. Farida Mgomi pamoaja na wanakijiji cha Machombe kata ya Marika.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi zilizorudishwa na wapinzani wakati wa kushiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Marika wilayani Masasi.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM pamoja na jumuiya zake wakinyoosha kadi zao juu wakati wa kula kiapo cha uanachama mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mikutano Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Marika ikiwa sehemu ya kujenga na kukiimarisha chama cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi ambapo alikagua maendeleo ya mradi wa maji wa Chiungutwa mradi ambao utasaidia vijiji 27,tarafa 3 ambapo watu zaidi ya elfu 60 watanufaika na mradi huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi-Taifa, Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa wilaya ya Masasi ambapo aliwapongeza kwa kutambua utapeli wa vyama vya upinzani katika kijiji chao na kuamua kujitenga nao kabisa.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa ambapo aliwapongeza kwa kuwa na Mbunge mchapa kazi anayejali wananchii wake,Kinana aliwaambia wananchi hao wahakikishe wanajiandikisha tayari kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Mbunge wa Jimbo la Lulindi ( CCM ), Jerome Bwanausi akihutubia wakazi wa kijiji cha Chiungutwa na kuwaeleza maendeleo ya utekelezaji wa ahadi za CCM kwenye jimbo lake wakati wa mkutano wa hadhara ambao mgeni wa heshima alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge wa zamani wa mkoa wa Mtwara John Aidi aliyekuwa mbunge wa Mtwara miaka ya 75 mpaka 85 na aliwahi kuwa mbunge wa Masasi miaka ya 65 mpaka 70 akifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi mkoa wa Mtwara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi na kuwaambia kila mtu kwenye utumishi wa serikali inabidi awajibike katika kufanikisha lengo na asiyeweza inabidi aachie ngazi alisema lazima tutangulize utumishi kwa umma.

Kadi zilizorudishwa kutoka kwa wananchama wa vyama pinzani ambao kwa hiyari yao leo wamerudi na kujiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama cha NLD-Taifa, Frank Rashid Maulano aliyejiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Chiungutwa jimbo la Lulindi wilayani Masasi.

Upuuzi wa chama cha MAFISADI huu
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
watu wachache kama kikao cha familia...nsona wananchi wameanza kujitambua...
 
MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Sema Mbuzi zimejiunga na CCM, uwezi kuwa unajitambua ukajiunga na CCM
Ndugu,
Matusi ni kielelezo cha upungufu wa elimu na malezi bora kutoka kwa wazazi!

Kama wananchi wengi wanayoipigia CCM kura ni mbuzi, basi acha CCM iendelee kuwa na wananchi unaowaita mbuzi.

Kama hao wananchi ni mbuzi, wewe ni mnyama gani na umejiunga na chama gani ambacho hakina mbuzi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom