Kinana na Timu yake leo watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Mji wa Mtwara

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Stay Tuned...

Mwenye macho asafishe matongotongo na mwenye masikio na atege sikio.

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Katibu Mkuu na Timu yake mjini Mtwara.

Umati wa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini.

Wananchi wakishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili mkoani MtwaraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa vikundi vya Bodaboda zilizotolewa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji

Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji akihutubia wakazi wa Mikindani baada ya kuwakabidhi leseni madereva 70 wa boda boda na kuwakabidhi kama mtaji wa kuendeleza vikundi vyao ikiwa ni ahadi yake kwa vikundi mbali mbali kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi 2010-2015.
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,455
2,000
wale vijana 200 wa bodaboda mliowapa 15000 na lita 7 za mafuta kwa nini hawakuja hata nusu yao ??
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,335
2,000
Asante kwa taarifa mkuu , bajeti ya bodaboda leo ikoje ? Namaanisha watalamba ngapi na mafuta lita ngapi ?
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,044
2,000
MwanaDiwani hiyo gari ya kijani ndio mzee ndovu yumo humo ndani?
__inamaana wanamtwara hawajajua ccm ni dalali wa gesi?
 
Last edited by a moderator:

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,635
2,000
Dr. Prof. dalali Muhongo na Dr. Prof. bilionea Tibaijuka watakuwepo kudalalia gesi? cc. MwanaDiwani
 
Last edited by a moderator:

More Tiz

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
2,232
1,195
Siku hizi sheria za nchi zknaruhusu Mbunge kutoa leseni? Kama haziruhusu mbunge amezipataje? Tunajua leseni inatolewa TRA siku hizi na ni baina ya dereva na TRA na sheria hairuhusu dereva kuombewa au kuchukuliwa leseni? Leo mbunge amezitoa wapi hizo leseni. Wataalamu wa MATRIX wanajua kuwa huo ni mpango wa CCM kuwadanganya watanzania, kwani aamewahonga hao madereva ili wawakabidhi leseni zao then waje wakabidhiwe mbele ya halaiki ili kuwarubuni wananchi. Hivi ni kwa nini chama tawala na kongwe kama CCM kisifanye kazi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za nchi?

Stay Tuned...

Mwenye macho asafishe matongotongo na mwenye masikio na atege sikio.

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Katibu Mkuu na Timu yake mjini Mtwara.

Umati wa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini.

Wananchi wakishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili mkoani MtwaraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa vikundi vya Bodaboda zilizotolewa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji

Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji akihutubia wakazi wa Mikindani baada ya kuwakabidhi leseni madereva 70 wa boda boda na kuwakabidhi kama mtaji wa kuendeleza vikundi vyao ikiwa ni ahadi yake kwa vikundi mbali mbali kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi 2010-2015.
 
j2chenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
201
0
Kweli!! silaha ya mtawala ni ujinga wa watawaliwa
Ni Maneno mafupi lakini yameshiba. Hongera Sana. Hii ndio maana elimu yetu watawala wanazidi kuizamisha Ili wawe Na majitu majinga mengi Ili wayatawale Na wayaburuze wapendavyo.
 
Mantissa

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
876
225
Stay Tuned...

Mwenye macho asafishe matongotongo na mwenye masikio na atege sikio.

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Katibu Mkuu na Timu yake mjini Mtwara.

Umati wa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini.

Wananchi wakishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili mkoani MtwaraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa vikundi vya Bodaboda zilizotolewa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji

Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji akihutubia wakazi wa Mikindani baada ya kuwakabidhi leseni madereva 70 wa boda boda na kuwakabidhi kama mtaji wa kuendeleza vikundi vyao ikiwa ni ahadi yake kwa vikundi mbali mbali kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi 2010-2015.
Wabunge siku hizi wanakabidhi leseni za bodaboda, hichi kitengo kimeanza lini? Mh, hii kali kweli. Wizi mtupu, hakuna kitu hapa
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,276
2,000
Stay Tuned...

Mwenye macho asafishe matongotongo na mwenye masikio na atege sikio.

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Katibu Mkuu na Timu yake mjini Mtwara.

Umati wa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini.

Wananchi wakishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili mkoani MtwaraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa vikundi vya Bodaboda zilizotolewa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji

Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji akihutubia wakazi wa Mikindani baada ya kuwakabidhi leseni madereva 70 wa boda boda na kuwakabidhi kama mtaji wa kuendeleza vikundi vyao ikiwa ni ahadi yake kwa vikundi mbali mbali kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi 2010-2015.
Haikuwa busara Rais kutumia namba ya simu ya Marekani - Makala - mwananchi.co.tz
 
pepeter

Member
Nov 21, 2014
6
0
Kinachofanyika hapo mtwara, ni kuwaondolea vijana hali ya umaskini, sasa tuangalie ni chama gani kilichowahi, kuonyesha hali ya kuondoa umaskini hpo mtwara pia Lindi, jibu hakuna!!hivyo kufanya hivyo kwa ccm, ni mipenyo ya kufikisha ujumbe kwa wananchi, kwamba wanawajali, kwa hiyo tunaomba vyama vingine hasa vile vya upinzani, viendelee kufanya hivyo ili tuwaokoe wananchi wa kusini , kuondokana na hali hii ya umaskini, tusiangalie upinzani, wa vyama, bali mbinu mbadala.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom