Kinana na Nape wapo tayari kumpigia kampeni Lowassa 2015?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Baada ya "wateule" wengine kushindwa kufua dafu mbele ya Mzee wa Monduli, sasa Nape na Kinana wanaonekana wakimnadi Migiro, kama the best alternative na kufuatia maagizo kutoka "juu".
Lakini Lowassa (akisaidiwa vyema na mafisadi wenzake), anaonekana bado atamuacha kwa mbali mama huyu kimvuto ndani ya muda mfupi.
Ndio maana Mwigulu akitambua hilo na akizingatia msemo kuwa "kama huwezi kuwashinda, basi jiunge nao", mapema ameamua kujiunga kambi ya Lowassa. Hii imemfanya kwa sasa kuwekwa pembeni kwenye ziara za akina Kinana.

Ugumu upo kwa Nape, ambaye anaamini kambi yake iliyokuwa chini ya akina Sitta itapeta kama mama Migiro akichukua, lakini kwa Kinana wataalamu wa mambo wanasema anacheza karata zake vizuri, akiuma na kupuliza kote kote.

Swali ni kwamba nini kitatokea kwa Nape na kundi lake siku mamvi akikabidhiwa rasmi bendera ya kijani kupigania kwenda magogoni?
 
Wezi ni rahisi sana kuungana na kufanya jambo kwa haraka kuliko watu wema wanaojizatiti kuhakikisha kuna ishara za haki katika jambo wanalolikusudia.
 
ccm ni chama kongwe barani afrika,kina viongozi waliojaliwa busara,ccm wataungana na watapiga kazi,tofauti na huyo makengeza wenu asiye juwa maana ya demokrasia amekalia kitu miaka nenda rudi hataki kuacha demokrasia ichukue mkondo wake!!!!
 
Kama demokrasia ni kuachiana kiti, basi hata CCM inatakiwa iachie kiti chama kingine kitawale..
 
Kama yupo mkuu kuliko EL, sipati picha ana "ukubwa" kiasi gani...
Ndani ya CCM kuna cha ukubwa!, kuna kitu kinachoitwa "the choosen one" akiwa ni mdogo na mwepesi, anaweza kupigwa vikumbo na kina Sitaa na Membe, kwa vile EL nae ni kigogo, harakati zake zote ni kuwepo ili tuu kusafisha njia kwa kupigana vikumbo na the giants, akiisha vidondosha na kuviweka pembeni, mtashuhudia njia nyeupe, na hapo ndipo "the chosen one" atakapofichuliwa na kujipitia kwa ulani!.

Pasco.
 
Baada ya "wateule" wengine kushindwa kufua dafu mbele ya Mzee wa Monduli, sasa Nape na Kinana wanaonekana wakimnadi Migiro, kama the best alternative na kufuatia maagizo kutoka "juu".
Lakini Lowassa (akisaidiwa vyema na mafisadi wenzake), anaonekana bado atamuacha kwa mbali mama huyu kimvuto ndani ya muda mfupi.
Ndio maana Mwigulu akitambua hilo na akizingatia msemo kuwa "kama huwezi kuwashinda, basi jiunge nao", mapema ameamua kujiunga kambi ya Lowassa. Hii imemfanya kwa sasa kuwekwa pembeni kwenye ziara za akina Kinana.

Ugumu upo kwa Nape, ambaye anaamini kambi yake iliyokuwa chini ya akina Sitta itapeta kama mama Migiro akichukua, lakini kwa Kinana wataalamu wa mambo wanasema anacheza karata zake vizuri, akiuma na kupuliza kote kote.

Swali ni kwamba nini kitatokea kwa Nape na kundi lake siku mamvi akikabidhiwa rasmi bendera ya kijani kupigania kwenda magogoni?

Baada ya mgombea kupitishwa na Mkutano Mkuu, makundi yote yanaungana na kuwa kundi moja dhidi ya wagombea wa vyama vya upinzani Tuko
 
Last edited by a moderator:
If you can't fight him/her join him/her. Naona the opposition kuchoka kabla ya mechi, hasa wale wa kaskazini
 
kama ni makengeza mbona baba yako anayo lakini hatusemi kwenye media, kinachomata ni hekima tatizo si wewe bali shule yako ndogo ndo maana unapima utu wa mtu kupitia disability yake.
 
Ndani ya CCM kuna cha ukubwa!, kuna kitu kinachoitwa "the choosen one" akiwa ni mdogo na mwepesi, anaweza kupigwa vikumbo na kina Sitaa na Membe, kwa vile EL nae ni kigogo, harakati zake zote ni kuwepo ili tuu kusafisha njia kwa kupigana vikumbo na the giants, akiisha vidondosha na kuviweka pembeni, mtashuhudia njia nyeupe, na hapo ndipo "the chosen one" atakapofichuliwa na kujipitia kwa ulani!.

Pasco.

Watu sasa hivi wamekazia macho vita inayoendelea CDM. But I am sure cdm wana nafasi ya kurecover kabla ya uchaguzi 2015. CCM wanaahirisha tu matatizo lakini kishindo cha cha vita yake ni kikubwa. Na kwa bahati mbaya kitakuja kwa kuchelewa...
 
Baada ya "wateule" wengine kushindwa kufua dafu mbele ya Mzee wa Monduli, sasa Nape na Kinana wanaonekana wakimnadi Migiro, kama the best alternative na kufuatia maagizo kutoka "juu".
Lakini Lowassa (akisaidiwa vyema na mafisadi wenzake), anaonekana bado atamuacha kwa mbali mama huyu kimvuto ndani ya muda mfupi.
Ndio maana Mwigulu akitambua hilo na akizingatia msemo kuwa "kama huwezi kuwashinda, basi jiunge nao", mapema ameamua kujiunga kambi ya Lowassa. Hii imemfanya kwa sasa kuwekwa pembeni kwenye ziara za akina Kinana.

Ugumu upo kwa Nape, ambaye anaamini kambi yake iliyokuwa chini ya akina Sitta itapeta kama mama Migiro akichukua, lakini kwa Kinana wataalamu wa mambo wanasema anacheza karata zake vizuri, akiuma na kupuliza kote kote.

Swali ni kwamba nini kitatokea kwa Nape na kundi lake siku mamvi akikabidhiwa rasmi bendera ya kijani kupigania kwenda magogoni?

Ufataani si mzuri. Ni wapi Kinana na Nape walipomnadi Asha?
 
Back
Top Bottom