Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,296
- 33,909
Wakati Lowassa alisema hakukutana na Kikwete njiani, bila ya shaka Kinana ana haki ya kusema yeye na Kikwete wamekuzwa pamoja.
Halafu mtu unategemea wageukane!!basi sawa
Wakoje ? Mimi mwenyewe navaa saa mkono wa kulia kwa sababu natumia kushoto
Tukoje mkuu?
Umekosea mkuuBoyz2men.
Hana lolote huyo nimekuwa mpaka uzee huu navaa mkono wa kuliaTukoje mkuu?