Kinana: Mnaojipitisha urais kabla ya wakati tusilaumiane

Ni haki yake na katiba inamruhusu CCM wakitaka ushindi wa kishindo Kinana au Jaji Warioba tosha!
 
Kinana c mtanzania mzawa.
Hatutaki wachezaji wa Kigeni alichofanya Rostam yatosha.
Mimi si mbaguzi ni Mzalendo Tu.
 
Mtawala atakayeleta ukombozi kwa maskini, ATATOKEA KASKAZINI YA NCHI;kwa mujibu wa sifa za Biblia katika ISAYA 41:25-26.
 
Kama kweli CCM wanauenzi muungano, safari hii mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM atoke upande wa Zanzibar.

Katiba haisemi hivyo..muungano umeshikiliwa na uzi wa buibui, kwa kweli nchi iko njia panda
 
Mtawala atakayeleta ukombozi kwa maskini, ATATOKEA KASKAZINI YA NCHI;kwa mujibu wa sifa za Biblia katika ISAYA 41:25-26.

hiki ndicho alikataa mwl. nyerere kwamba hata kama hafai maadam anatoka tu kaskzi..:-\
 
...yaani ktk magalasa ambayo ccm wanayo basi kinana ni mmojawao,hata udiwani hapati asipotoa takrima...
 
tembo watapakiwa kwenye mabasi ya mwendo kasi kuelekea feri au airpot nikimfikiria naomba kinana moja ya uvuguvugu kwanza
 
ccm hakuna mwenye sifa za kuwa raisi wote ni wezi na mafisadi wakubwa naona kinana anahangaika kuzunguka nchi nzima kuwadanganya wahuni wenzake ccm ni janga la taifa
 
Unaposema kuna kila dalili ina maana CCM ndiyo huwa inawaandaa wagombea Urais kwa njia anayoifanya Kinana.

Kuna baadhi ya watanzania wana fikra na mitazamo ya ajabu kweli. Wakimuona mtu anatenda majukumu yake katika msingi unaotakiwa wa kazi yake, wanaanza kuuliza maswali ya kwa nini anatenda. Hizi ni fikra na mitazamo ya kivivu ambayo imejaa rushwa.

Jambo gani jipya analofanya Katibu Mkuu ambalo liko nje ya utaratibu na misingi ya kazi yake kama Katibu Mkuu wa CCM.

Tumeishasema, Udaku tunawaachia wataalam wake, kazi iliyoko mbele ya CCM ni kuhakikisha chama kinafanya vizuri katika chaguzi za serikali za mitaa. Hicho ndiyo kipimo cha kazi ya Katibu Mkuu wa CCM kama alivyoagizwa na Mkutano Mkuu wa CCM.
 
hili mm nililiongea tuko tabora jiulize ni katibu gan wa chama cha mapinduzi aliezunguka nchi nzima kwa uongo na unafiki zaid kinana naunga hoja mkono
 
Back
Top Bottom