kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
Chochote kibaya kinawezekana kwa CCM!
Mtawala atakayeleta ukombozi kwa maskini, ATATOKEA KASKAZINI YA NCHI;kwa mujibu wa sifa za Biblia katika ISAYA 41:25-26.
Kama kweli CCM wanauenzi muungano, safari hii mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM atoke upande wa Zanzibar.
Chochote kibaya kinawezekana kwa CCM!
siku zote alikua wapi mpaka hi 2014 ndo anawaonea huruma wananchi
Mtawala atakayeleta ukombozi kwa maskini, ATATOKEA KASKAZINI YA NCHI;kwa mujibu wa sifa za Biblia katika ISAYA 41:25-26.
hiki ndicho alikataa mwl. nyerere kwamba hata kama hafai maadam anatoka tu kaskzi..:-\