johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,102
- 164,476
Ameyasema hayo mjini Dodoma ktk maadhimisho ya miaka 40 ya ccm.Source Nipashe
Hajazungumzia na lile deni la shigongo??????????????Ameyasema hayo mjini Dodoma ktk maadhimisho ya miaka 40 ya ccm.Source Nipashe
Kama lizaboni.Mkuu madalali ndo akinani hao
Bila shaka anamaanisha wale wapuuzi wanaotetea upuuzi wa chama hata kama in makosa ya dhahiri.........watakuwa wamechoka kulipa zile buku saba sasa anawatoa nje kiujanja.Mkuu madalali ndo akinani hao