Kinana live chanel ten muda huu

Yuko katika kipindi Cha Jenerali Ulimwengu

Mada ni: CCM BAADA YA UCHAGUZI
 
Yaani hiki chama bana..sasa wanajua rushwa ni ngumu kuizuia huko ccm sasa wanaropoka ropoka nini mbuzi hawa
 
Kuhusu meli zake na meno ya tembo anjibuje?
Mie nahisi kichefuchefu kumsikiliza fisadi tena lile la alshabab
 
namsikiliza jamaaa somehow yuko semi- transparent anakubali kwamba yapo makundi ndani ya chama yanayokinzana na kukiyumbisha chama, kwamba kuna tatizio la ajira kwa vijana, anakiri kwamba upinzani una nguvu na itabidi wajipange vizuri kuelekea uchaguzi 2015.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Anaahidi kutatua tatizo la ajira la vijana kwa mbinu zisizo za kawaida.Sijui anataka kuwapa vijana deal la kukusanya pembe za ndovu?
 
Mbona hana jipya, naona kakariri jibu moja tu
''Tunalichukua na kulipeleka kwenye vikao vya chama na litapatiwa ufumbuzi tu''

Nini maana ya yeye kuwa katibu mkuu kama kila kitu unasubiri vikao vya chama vikae?
 
Nimecheka!! Jenerali kamsaidia ku solve ishu ya kampuni yake inayohusika na utoroshaji vipusa!,gen kamuambia asijibu swali hilo iliyoulizwa na mpiga simu-----kweli kinana kalipotezea.Pana kitu hapo.
 
Ujibuji wake wa maswali ni wa ''Kikwete style''
Naye analalamika huku pia hana majibu ya msingi.

Bora Makamba sr na Mukama kidogo walikuwa conclusive kwenye kujibu sio huyu jamaa.
 
Nimecheka!! Jenerali kamsaidia ku solve ishu ya kampuni yake inayohusika na utoroshaji vipusa!,gen kamuambia asijibu swali hilo iliyoulizwa na mpiga simu-----kweli kinana kalipotezea.Pana kitu hapo.

Ha..ha..ha wote wawili wamejiumauma tu hapo hilo swali gumu kweli..amelipunch bwana amelielekeza liende kwa polisi,bandari na customs ndio wana uwezo wa kutoa majibu mazuri zaidi.
 
Anasema muuliza swali
kuhusu vipusa akaulize POLISI mzee wa watu kanywea ghafla,kweli midahalo lazima iwe sumu kali kwa ccm.
 
Back
Top Bottom