Kinana kuwa spika mpya?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Zipo taarifa toka kwa Watu kuwa CCM wamemshawishi Kinana achukue Form ya Kugombea U-spika. Huyu jamaa akipata, bungeni atakuwa spika yeye, waziri yeye, waziri mkuu yeye, serikali yeye, kwa jinsi anavyopenda kutetea utumbo wa serikali.
 
You are very right! coz they way he has been commenting various issues during the campaign and on election and post-election shows that;the guy is like a parrot and never argue critically anything.
:A S angry::A S angry:
 
Halitakuwa bunge tena,Kinana anweza wapigisha kwata wapinzani.
Itabidii Kambi ya Upinzani wampige tafu Sita. Maana hata wakisimamisha mgombea wao hata pita kwa uwingi wa wabunge wa ccm.
 
Hivi spika wa bunge si lazima awe mbunge? ni kama najua hivyo...au?
 
Hivi spika wa bunge si lazima awe mbunge? ni kama najua hivyo...au?

Atatuletea yale ya Siad Barre wa Somalia maana wanatoka ukoo mmoja huyo. Jazba, hasira, visasi, na.....wapinzani muwe waangalifu naye
 
Hivi spika wa bunge si lazima awe mbunge? ni kama najua hivyo...au?
siku hizi kuwa spika sio lazima uwe mbunge,ndio maana Kinana,Slaa au mtu yeyote anaweza kugombea u-spika wa bunge.:peep:
 
Zipo taarifa toka kwa Watu kuwa CCM wamemshawishi Kinana achukue Form ya Kugombea U-spika. Huyu jamaa akipata, bungeni atakuwa spika yeye, waziri yeye, waziri mkuu yeye, serikali yeye, kwa jinsi anavyopenda kutetea utumbo wa serikali.

Itakuwa nzuri sana kwa manufaa ya chama, ingawa mtu yeyote chama chochote anaweza kugombea. Hebu mshawishini Slaa basi achukue fomu kabla hajapeleka vijana mtaani kama alivyosema
 
Luteni Kanali (Mstaafu) A. Kinana mwenye asili ya Somali ni mmoja wa Mafisadi wakubwa tangu enzi ya utawala wa Alhaji Ali Hassan Mwinyi. Ikitokea akawa Spika nafikiri watu wataanza kupigana ngumi bungeni kama somalia, sudan na kipindi fulani Kenya
 
before hii campaigning,Kinana alikuwa ni kati ya viongozi wachache wa CCM niliokuwa nawaheshimu sana kwa kudhani kuwa ni mpenda haki na mchapakazi hasa niliposikia kuwa alipendekeza wanaCCM wote wenye tuhuma za ufisadi wavuliwe uanachama kwanza ndipo yeye angekubali kuwa katibu wa chama.
Kweli ukitaka jamii ijue umakini au udhaifu wa kiongozi wake basi usimpe kiongozi yule cheo cha kumficha kisicho na maamuzi yakuwaathiri wanajamii wale moja kwa moja badala yake mpe madaraka yenye madhara ya moja kwa moja kwa jamii ile.
 
Mtu wa kukariri hawezi kuwa spika hana upeo na hawezi kuongoza wasomi wa CHADEMA bungeni, labda mambumbumbu wa sisiemu tu.
 
halitakuwa bunge tena,kinana anweza wapigisha kwata wapinzani.
itabidii kambi ya upinzani wampige tafu sita. Maana hata wakisimamisha mgombea wao hata pita kwa uwingi wa wabunge wa ccm.


sitta ni mnafiki,bora ya kuwa na spika fisadi wa wazi kuliko fisadi aliyejificha...nitanunua expensive wine sitta akishindwa uspika,umesahau aivyo iua issue ya richmond,yeye ndiye aliyeanzisha mchakato wa kuongeza mishahara ya wabunge,yeye ndiye aliyejenga ofisi ya spika yenye thamani sawa na zahanati mbili kwao,utafikiri atakuwa spika milele,,wakati wa kampeni mafisadi wote wa ccm waliungana.,sitta na mengi hawna tofauti..i hate hypocrisy..sitta is hypocrite and a criminal
 
Back
Top Bottom