Kinana kapotelea wapi?

Andrew Kellei

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
348
123
Ndugu zangu naomba kujua huyu mwenyekiti wa kampeni wa CCM amepotelea wapi?
Nauliza hivi kwa sababu nilizoea kumsikia akijibu kila hoja inayotolewa na dokta(wa kusomea).Mara ya mwisho alionyesha zile risiti za kukodi ndege aliyopanda mama Salma.
Sasa nauliza waandishi mmemsusia?
 
Yupo mtaani akisubiri kupewa shubiri na NEC ya matokeo ya Uraisi na ubunge hapo tarehe 02nd November 2010
 
Back
Top Bottom