Kinana kachelewa sana kukiri na kuomba msamaha kwa wananchi kwa ufisadi

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Akihutumia wananchi ktk mkutano kule mbele.Kinana alianza kuomba msamaha na kukiri kuwa CCM walifuja hela(UFisadi) ndio maana maendeleo yapo nyuma kiasi hiki.Na km si ufisadi basi Nchi ingekuwa mbali sana.

Alikuwa akitumia lugha ya kujisafisha hadi kufikia mahali pa kukosa maneno ya kusema.Ila pia kasahau kuwa kukosa welezdi kwa CCM napo ni hasara sana kwa nchi hii.

Kwa ujumla jamaa kachelewa sana.
 
Kasahau pia kukiri ujangili wao umeturudisha nyuma hwa wanyama wanazidi kupungua
View attachment 125079 994623_1419254918289084_1302876787_n[1].jpg
 
Back
Top Bottom