Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,848
927
KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa madarakani.

Amesema kwa sasa Rais yuko katika nchini Marekani ambapo amesema ziara hiyo imemkutanisha na viongozi wakubwa akiwemo Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ambaye nchi yake Ina ushawishi mkubwa duniani.

Kinana ameyasema mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa wana CCM wa mkoa huo akiwa katika ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo hivi karibuni.

"Sasa hivi anafanya ziara nje huko, kwa wafadhili, watoa mikopo, ili tuweze kupata fedha nyingi zaidi kwa maendeleo ya taifa letu.

"Rais yuko Marekani, ameonana na Makamu wa Rais wa Marekani. Marekani ni nchi kubwa, Marekani Ina kauli duniani, Marekani ni mshiriki wetu wa maendeleo katika sekta mbalimbali zinazowagusa wananchi," amesema.

Amesema Rais Samia pia amekutana na viongozi wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha duniani (IMF), Taasisi ambazo ni washirika muhimu wa maendeleo na uchumi wa Tanzania, hivyo anastahili pongezi.

===

FRSS1WZX0AEg41Z.jpg

IMG-20220426-WA0047.jpg
 
Hii nchi Urais ni cheo Baada ya Mungu nadhani.

Ukiwa Rais wooote wanaokuzunguka wanabaki kukusujudia.. Unafiki tu.!
 
"Sasa hivi anafanya ziara nje huko, kwa wafadhili, watoa mikopo, ili tuweze kupata fedha nyingi zaidi kwa maendeleo ya taifa letu.

9 February 2022
Moshi, Kilimanjaro

STAND MPYA NGANGAMFUMUNI MOSHI KILIMANJARO YAKWAMA, UJENZI WASIMAMA KWA MUDA, MEYA AIANGUKIA SERIKALI...

Mradi mkubwa stand mpya ya mabasi katika manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanajaro iliyopo eneo la Ngangamfumuni umetajwa kusimama na kupelekea wananchi waliokua wanasubiri kupoteza matumaini ya kukamilika kwa haraka.

Meya wa manispaa hiyo Juma Raibu amesema wameshatuma maombi ya kuomba fedha serikali kuu baada ya mkandarasi kusimama kutokana na madai ambayo yalimfanya kusimama kwa mradi huo.

Mradi huu mpya wa stand unatekelezwa na serikali kwa gharama ya shilingi Bil.28 na mpka sasa mradi umekamilika kwa asilimia 48, ambapo mpka sasa mradi huo ulipaswa uwe umekwisha kamilika.

Source : Wasafi Media
 
Fukuto la kisiasa ndani ya CCM Kilimanjaro

21 April 2022
Kilimanjaro, Tanzania

Madiwani 41 mkoani Kilimanjaro waandika barua ya kumkataa mkurugenzi

Madiwani 41wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameandika barua ya kumkataa mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Kastory Msigala wakimtuhumu kutumia maamizi binafsi kupitisha baadhi ya miradi ya maendeleo katika Halmashauri hiyo.

Madiwani hao ambao waliandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kuwasilisha barua yao, wanalalamikia ukusanyaji wa mapato hafifu kutokana na utendaji usio shirikishi wa Mkurugenzi huyo pamoja, utolewaji wa maamuzi ya utekelezaji wa miradi bila kushirikisha kamati ya fedha na baraza la madiwani
 
KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa madarakani.

Amesema kwa sasa Rais yuko katika nchini Marekani ambapo amesema ziara hiyo imemkutanisha na viongozi wakubwa akiwemo Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ambaye nchi yake Ina ushawishi mkubwa duniani.

Kinana ameyasema mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa wana CCM wa mkoa huo akiwa katika ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo hivi karibuni.

"Sasa hivi anafanya ziara nje huko, kwa wafadhili, watoa mikopo, ili tuweze kupata fedha nyingi zaidi kwa maendeleo ya taifa letu.

"Rais yuko Marekani, ameonana na Makamu wa Rais wa Marekani. Marekani ni nchi kubwa, Marekani Ina kauli duniani, Marekani ni mshiriki wetu wa maendeleo katika sekta mbalimbali zinazowagusa wananchi," amesema.

Amesema Rais Samia pia amekutana na viongozi wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha duniani (IMF), Taasisi ambazo ni washirika muhimu wa maendeleo na uchumi wa Tanzania, hivyo anastahili pongezi.

===

View attachment 2201853

View attachment 2201854
Eti kujitambulisha, kwani hawamjui? Anapiga posho tu. 😎
 
Genge la waovu
 
Back
Top Bottom