Kinana apongezwa Tunduru

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Jamani njooni Tunduru mjionee jinsi wananchi walivyo na furaha, wanavyofanya maendeleo wanajenga nyumba mzuri na wana fedha, mzunguko wa fedha ni mkubwa mjini na vijijni kwa sababu ya ununuzi huru wa korosho tofauti na mkoani mtwara wanaotumia stakabadhi ghalani, wanakopwa.tunduru leo bei ya kilo moja ni sh 1150/=cash
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom