Kinana Anafanya bidii japo..........


Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,330
Likes
5,084
Points
280
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,330 5,084 280
Wakuu siku hizi karibu kila siku nikiangalia taarifa ya habari namuona huyu katibu mkuu wa ccm Mr. Kinana akifanya ziara mikoa mbalimbali ya TZ na anajaribu kuwafikia watu na miradi mbalimbali ya maendeleo...kiukweli huyu jamaa ni miongoni mwa watu ambao nilikua nikiwaona natamani kuzima TV hasa baada ya zile kashfa za pembe za ndovu na meli yake kukamatwa na shehena hiyo. Ila bidii anayoionesha sasa imekua inanitatiza na nashindwa kuelewa hii bidii yake tofauti na makatibu wakuu waliopita ni kutupaka mafuta tu kwa mgongo wa chupa ili kujisafisha ama kweli anamachungu ya maendeleo ya sisi watanzania tunaoporwa rasilimali kila siku bila kuachiwa maendeleo stahiki? Maana kusema ukweli CCM should have done alot to-date na tusingekua hapa leo
 

Forum statistics

Threads 1,250,739
Members 481,468
Posts 29,743,643