Elections 2010 Kinana ana busara sana

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
MDAHALO ULIOFANYIKA STAR TV KATI YA DK.SLAA NA MR.KINANA

NUKUU:DK.SLAA
Hatuwezi kugawana madaraka kwa kufuraishana tu,Sihitaji mawaziri wengi wanaofanya kazi ya kufungua makongamano,semina na mikutano.Sihitaji mawaziri ambao kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu,Nahitaji serikali ndogo inayotumia gharama ndogo lakini yenye tija katika kuhudumia wananchi

KINANA ANAJIBU:
anayeamua ni rais mwenyewe lakini nakubali kabisa kuwa na baraza kubwa la mawaziri si sahii...
 
Heshima kwako Mojoki,

Kinana hana busara hata chembe angekuwa na busara asingeshiriki kuuza Loliondo,asingeiba mashine za kufulia nguo zilizotolewa msaada Mt Meru Hospital,asingeiba na kusafirisha pembe za ndovu nje ya nchi kwa kifupi Kinana ni fisadi papa hana tofauti na akina Rostam,Lowassa,Chenge na Mramba.

Kinana hawezi kuitwa ni mtu mwenye busara kwasababu kakubaliana na Dr W Slaa udogo wa baraza la mawaziri.
 
Duh, hii busara baada ya kukosa pointi na kukubali yaishe ili kipindi kiendi. Hana busara kwani katumwa na nani?
 
alichosema ni sahihi baada ya kuzidiwa hoja ns kupanic ila haimfanyi kuwa na busara maana hata mpuuzi ange elewesha angekubali
 
Heshima kwako Mojoki,

Kinana hana busara hata chembe angekuwa na busara asingeshiriki kuuza Loliondo,asingeiba mashine za kufulia nguo zilizotolewa msaada Mt Meru Hospital,asingeiba na kusafirisha pembe za ndovu nje ya nchi kwa kifupi Kinana ni fisadi papa hana tofauti na akina Rostam,Lowassa,Chenge na Mramba.

Kinana hawezi kuitwa ni mtu mwenye busara kwasababu kakubaliana na Dr W Slaa udogo wa baraza la mawaziri.
Kweli eeeh!!!
 
Heshima kwako Ngongo

Uko sawa kabisa, ila wakereketwa wa chechem hawalioni hili na ufisadi ndio jadi yao, si waliuza hiyo Ivory wapate pesa za kurudi madarakani kwa kishindo ili kuendeleza yafuatayo;
Wizi wa mali ya umma kwa kasi zaidi
Epa kwa kasi zaidi
Safari za nje ya nchi kwa kasi zaidi
Ukarabi wa Ikulu kwa kasi zaidi na mengineyo meengi
 
:doh: Huyu kinana huyu hana tofauti na abunuwasi kabisaaaaaa.Safi tutamsikiliza rais wetu hio saa 5.
 
Reputations za hao wawili ni tofauti kabisa! Kama kichuguu na mlima.
 
Back
Top Bottom