Kinana amenena kweli DK Slaa ameshindwa mlalamishi anayetuhumu uongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinana amenena kweli DK Slaa ameshindwa mlalamishi anayetuhumu uongo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jichohuru, Sep 25, 2010.

 1. J

  Jichohuru New Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DK Slaa alichelewa kufanya kampeni akisubiri CCM watasema nini katika majukwaa ili na yeye apate pa kuanzia kusema na watanzania lazima tujiulize kwanini alifanya hivyo na jibu unalopata hizo zilikuwa dalili za mwanzo kabisa za kushindwa kwa sababu haiwezekani kukitegemea chama kingine kitazungumza nini katioka mikutano yake huku ilani ziko tofauti,katika vyama tofauti.

  Pili Slaa anategemea sana makapi ya CCM Shibuda na MPENDAZOE AMBAO KWA ccm WALIKUWA MZIGO mzito usiobebeka. kwani hawana jipya cha kuwaambia watanzania, Chadema wanawazungumza CCM badala ya kunadi sera zao kwani wapiga kura wanataka kusikia sera na si historia ya watu, wajifunze kwa mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa akizungumza kwa ligha maalum kutokana na eneo husika kwani kero na matatizo ya watanzania hayafanani. Kinana nakupa BIGUP hongera CCM hongera Kikwete.

  Kura yangu naampa Kikwete 31 Oktoba
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JICHOHURU-:

  joining date: 24th September 2010

  Karibu sana JF.
   
 3. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  umesahau moja, hata Dr. Slaa alianza kujiita Dr. baada ya kusikia JK anaitwa Dokta...lol
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. K

  Kimla JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,509
  Likes Received: 1,402
  Trophy Points: 280
  Wanaofaidika na ufisadi wa mali ya Umma kupitia uwepo wa CCM utawfahamu tu. Yaani maneno kama ya jichohuru yanaonyesha anavyofaidika na uzindiki wa CCM. Kwani wabunge wa CCM walioanza kampeni karibuni wakati wenzao wa vyama vingine walianza mapema walisubiri nini?
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi kumbe Malaria sugu bado yupo?
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hamjui nyie. Jichohuru ni mshiriki mkubwa bwa Kinana katika biashara ya kuhamisha nyara za taifa.
   
 8. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  this is guda
   
 9. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Veve si geni dugu?
  sasa pana bisha hodi, nakuja na hii maneno?
  siku ingine fanya staharabu ee!
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Kura yangu naampa DR. SLAA 31 Oktoba...............

  Hivi CCM ambao kila siku kwenye gazeti lao la kishabiki la UHURU hudai limezowa wanachama wa upinzani je nani kati ya CCM na CHADEMA HUZOA MAKAPI?

  HATA UWEZO WA KUFIKIRI HUNA KWA NINI WAKATI MWINGINE USIKAE KIMYA TU NDUGU YANGU?
   
Loading...