Elections 2010 Kinana 'al saaf' wa JK aanza kukiri kipigo kwa msisitizo

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
Yule jamaa anayefanya propaganda hewa kwa JK kwa kujifanya haoni kama kuna kibano chochote mbele ya chama chake na JK wake kwa style ile ile ya jamaa aliyekuwa staa wa propaganda kwa Sadaam wakati wa vita ya ghuba aliyeitwa Al Shaaf, ambaye hata siku moja hakuwahi kukiri baghdad ilikuwa inatekwa, imejidhihirisha leo. kama kawaida yake na Kinana, kila CCM na JK wanapopata kibano, leo kwa mara ya kwanza amekiri kipigo deutche welle-radio ujerumani, kasema kichapo wanachopata wabunge na mawaziri wa JK ni kawaida ktk uchaguzi na hivyo wao wanayapokea na kukubali. ukweli ndio huo. wapo tayari sasa kupokea maumivu zaidi, hata JK inabidi alione hili, aanze kuungana na ustaarab kama wa Seif kule Zenj. aachane na akili za kizamani za uchakachuaji...Maana hiyo imeshakuwa style muflis na ita-backfire hakia nani!
nawasilisha
 
Kama wanakubali kwa nini hawataki matokeo yatangazwe kwenye majimbo yale ambayo wamepata kichapo? wawe wawazi tu kukiri kuwa mwaka huu ni kichapo cha nguvu
 
Umemsahau na Makamba mkuu

Huyo ndiyo munafiki mkuubwa kabisaaa na mshiriki wa kwanza kuuwa CCM na kupoteza majimbo muhimu Ilemela,Nyamagana,Arusha mjini,Mbeya mjini,Iringa Mjini na hii yote ni uongozi mbovu wa hali ya juu ya viongozi wa CCM kwani walibweteka sana na uongozi na wakadhani wao ndio wao tuu mpaka kufa sasa CCM ndio inabidi kujirudisha nyuma na kupanga upya mikakati ka kilicho tokea Tarime mnawapa kile wananchi wanacho kitaka na sio kuwaletea watu kama ilivyo mkuta Mama Batilda huko Arusha, Ana Kilango na uko vunjo pia sasa ndio halii ya CCM kujisahau na ulevi wa madaraka na kuto kutizama alama za nyakti kabisa
 
Ina maana Mama Kilango amepigwa chini?
 
kigoma kusini chadmea,kigoma mjini ccm,kasulu wanasuasua,sumbawanga ccm
sasa izo tofauti za kura adi unasikia kupigana!!
 
Inavyoonekana, Makamba alimalizia akili katika mkoa wa Dar es Salaam, kaenda CCM kichwa kitupu.
 
dah mkuu umenikumbusha huyo mgosi wa kuitwa al saaf.
Huyo Baba anaaminika kuwa ni muongo kupita kiumbe yeyote tangu enzi ya Mussa na agano la kale
 
wp peneshee makamba mbona kimya!kuchamba kwingi kuondoka na m... Te te te teh pia kumbuka kelele za mlango hazimzuhii mpangaji kulala.
 
Sijui Makamba yuko wapi maana sasa hivi angekuwa anaongea kweli, ulevi wa madaraka na kujiamini kwa CCM kuwa wangeshinda kwa kishindo Urais na ubunge ndio umewafikisha hapa walijali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya wananchi
 
Anne Kilango na John Malecela wanatofauti gani na Mugabe na Grace?

For starters, Mugabe is still a sitting disgruntled president. Na tofauti zingine nyingi tu. Mchungaji angalia bwana ushabiki wako usiwape watu uovu wasiostahili.
 
Back
Top Bottom