Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 431
Yule jamaa anayefanya propaganda hewa kwa JK kwa kujifanya haoni kama kuna kibano chochote mbele ya chama chake na JK wake kwa style ile ile ya jamaa aliyekuwa staa wa propaganda kwa Sadaam wakati wa vita ya ghuba aliyeitwa Al Shaaf, ambaye hata siku moja hakuwahi kukiri baghdad ilikuwa inatekwa, imejidhihirisha leo. kama kawaida yake na Kinana, kila CCM na JK wanapopata kibano, leo kwa mara ya kwanza amekiri kipigo deutche welle-radio ujerumani, kasema kichapo wanachopata wabunge na mawaziri wa JK ni kawaida ktk uchaguzi na hivyo wao wanayapokea na kukubali. ukweli ndio huo. wapo tayari sasa kupokea maumivu zaidi, hata JK inabidi alione hili, aanze kuungana na ustaarab kama wa Seif kule Zenj. aachane na akili za kizamani za uchakachuaji...Maana hiyo imeshakuwa style muflis na ita-backfire hakia nani!
nawasilisha
nawasilisha