kuna thread nilishawahi tuma hapa kwanini mikutano ya ccm inakosa vijana.makada wenzangu kama kina ifweero,msalani,abakorakamo wakaanza kunishambulia kwa maneno badala ya kujua jinsi ya kukusaidia chama.
Huu ndio ukweli, anayepinga mchawi.Ukweli ni kuwa bila milioni 80 magamba hawawezi kufanya mkutano wowote.
Tehe tehe,subiri MSALANI aliyevimbiwa gongo za MATEJOO aje kukukana.
Ukweli ni kuwa bila milioni 80 magamba hawawezi kufanya mkutano wowote.