Kinana ahutubia wana CCM pekee Singida

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
hivi ni kwa nini mikutano ya Kinana wanaohudhuria ni wana CCM peke yao?wananchi wasio wananchama wa CCM hawaalikwi au inakuwaje?mbona mikutano ya upinzani wanahudhuria wananchi wote,,,kuna nini hapo?

1. Kinana akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mk.jpg
 
leo umewahi kuanika ukweli. MwanaDiwani atakuja na kusema wameitikisa singida.waongo sana hawa maccm
 
Last edited by a moderator:
wamewachoka mkuu bila kuwasomba na kuwapa posho nani ataenda ?!!!
 
kuna thread nilishawahi tuma hapa kwanini mikutano ya ccm inakosa vijana.makada wenzangu kama kina ifweero,msalani,abakorakamo wakaanza kunishambulia kwa maneno badala ya kujua jinsi ya kukusaidia chama.
 
Kinana pesa alimalizia kwenye gongo Tabora. Hana fedha sasa ya kuwapa na kuwasomba
 
kuna thread nilishawahi tuma hapa kwanini mikutano ya ccm inakosa vijana.makada wenzangu kama kina ifweero,msalani,abakorakamo wakaanza kunishambulia kwa maneno badala ya kujua jinsi ya kukusaidia chama.

Tehe tehe,subiri MSALANI aliyevimbiwa gongo za MATEJOO aje kukukana.

Ukweli ni kuwa bila milioni 80 magamba hawawezi kufanya mkutano wowote.
 
24.jpg


CCM Kibanda Maiti Zanzibar hali inajionyesha ni maCCM tu yaliyojaa


2.jpg


UKAWA Kibanda Maiti Zanzibar hapa ni mchanganyiki inawezekana hata wasio na vyama hapa wapo.
 
  • Thanks
Reactions: prs
hivi zile porojo kuhusu dr slaa na gongo nahisi zitaziona tena maana kinana na nape wamekunywa gongo tabora
 
ifweero nalizaboni wakija hapa utasikia "kwanini ccm wanapendwa sana na watz! hawa jamaa nawapenda sana kama wanakuwa upande wako.yaani kwa ccm wao hakuna kibaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom