Kinana ahutubia wana CCM pekee Singida

Mikutano yao mkuu inakuwaga wao kwa wao tu
Watanzania wamewachoka ni muda tuu!
 
hivi zile porojo kuhusu dr slaa na gongo nahisi zitaziona tena maana kinana na nape wamekunywa gongo tabora

Hakika..

Ili ionekane ccm ipo pia na wagida mvinyo huo Kinana na Nape wakatweka glasi moja moja mtu wangu.
 
Wananchi wamejitambua hao wachache wamelogwa na mchawi kapoteza password asingekubali waendelee kuteswa na huyu Subiani CCM.Ila marekebisho kdogo hao wenye yunifomu siyo wote ni watu wao bali umesikini ulopandwa na serikali yao umewafanya washindwe kununua hata nguo za kujisitiri wanakeshea na kushindia izo walizogawiwa wakati wa kampeni.Tufunge tuwaombee wapate ukombozi wa kweli.
 
hivi zile porojo kuhusu dr slaa na gongo nahisi zitaziona tena maana kinana na nape wamekunywa gongo tabora

hebu rusha picha inayowaonyesha wakinywa hiyo gongo naambiwaga tu kuna makada wenzangu ccm wanatumia hiki kilevi kwa usiri mkubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom