Kinachotofautisha bei za bati kiwandani

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti?
Wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo!
499dafd7513ca2673706fc6e3fdf7545.jpg


1.Gauge(unene wa bati)
Hiki ni kigezo kikubwa sana katika kutofautisha bei bati hilo hilo ,material hayo hayo,rangi hiyo hiyo ila 26gaug itauzwa bei kubwa kuliko 28gauge,na 28gauge itauzwa bei kuliko 30gauge na 30g itauzwa bei kuliko 32gauge hiii yote ni kwamba wateja wa kila daraja wapate kile kile ,bei isiwe kigezo cha wao kukosa kilicho bora

2.Upana
Hapa pia ukipaelewa sana hutachezeshwa na bei za bati nataka kukuonesha kama bati la kampuni moja linatofautiana bei kwa ajili ya upana,utajua nguvu ya upana katika bei ya bati na utangundua huwa tunachokwepa ni kidogo sana kama tukijalo sana bei mfano bati la it5 la upana wa 107cm linauzwa 12,500/kwa meter na bati hilo hilo la kampuni hyo hyo,gauge hiyo hiyo,rangi hiyo hiyo ila upana wa 87cm linauzwa 9,500/kwa meter,tofauti ya 20cm inaleta tofauti ya 3000/=meter.
Tungekuwa tunawapandish mafund wakupe hesabu kutokana na upana wa bati kuliko kukadria tungeona ni tofauti ndogo tu.

3Aina za bati
Hii ni kawaida kama nilivyosema kila aina ya bati ina machine yake,ina speed yake ya uzalishwaji na operation cost za uzalishaji ndio maana bei zitatofautiana kulingan na aina japo material ni yale yale,ubora ule ule,na kiwanda hico hicho,corrugated(migongo midogo)ndo zitakuwa bei angalua,zitafuata it4 it5(migongo mipana),zitafuata versatile alafu natural stone coated.
eb706b12eb3f78f29e7555777fb4ec78.jpg


Call 0656-816616
JMK ROYAL SERVICES
agent wa mabati ya sunshare(agent no A-002)VIP,quansheing l,bati za uturuki,twyford tiles
Wanakuuzia bati kwa price list ya kiwandani.karibuni
(Discount ipo)

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) -upana wa 107cm na 98cm
gauge 26ni 16,284/meter,
gauge28 ni 12,500/meter na
gauge30 ni 11,120/=

-upana wa 87cm
gaug26 ni 12,114/meter,
gauge28 ni 9500/meter
Na gauge30 ni 8500/ meter

It4 upana wa 81cm 28gauge ni 8,768/=meter 30gauge7,655=/meter

Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)upana wa 110cm gauge26ni 17,626/=meter,
gauge 28 ni 13,500/=meter na gauge30 ni 11,710/= meter

Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi gauge 26 ni 12,114,
gauge28 ni 9500/meter
na gauge30 ni 8500/meter

Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated) ni 21,000/ piece
-Misumali ya bati kila rangi tzs 10,000/kg inakaa mia moja
-Kofia na valley
28gauge 13,200/= za urefu wa 3meter
30gauge 12,000/= urefu wa 3meter

-Gauge 26, 28 na 30
-upana 110cm 107cm,98cm ,87cm
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
 
Bati nyingi zinapauka hawa jamaa ni kama matapeli watu wengi wameingia mkenge
 
Bati nyingi zinapauka hawa jamaa ni kama matapeli watu wengi wameingia mkenge
Jamaa gani ni matapeli,na mkenge upi watu walioingiia,weka reply yako vizuri utuoneshe hao matapeli na walivyofanya utapeli with evidence mkuu
 
Back
Top Bottom