kinachosumbua ndani ya bunge la katiba ni muungano wa TANU NA ASP=CCM

ONDIECK OTOYO

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
254
44
kinachosumbua ni upuuzi wa kitu batili kinachoitwa muungano bila kutafsiri maana hali ya ''MUUNGANO'' maana hali ya muungano ni vitu kuanzia viwili kuhungana na kuwa kimoja na siyo viwili kuhungana na kuwa mbili au tatu hapo hakuna muungano bali kuna urafiki, na kilichofanyika kati ya mwalimu nyerere wa tanganyika na shekhe karume ni kuunganisha vyama TANU +ASP=CCM NA AIKUWA KUNGANISHA SEREKALI ndiyo maana zanzibar ikabaki na rais wake na serekali yake na tanganyika ikaendelea na uongozi wake kwa mgogo wa muungano na jambo hili ilitengamaa kwa sababu chama kilikuwa kimoja ccm ambayo ilikuwa na kiongozi mmoja na ndiye alikuwa rais wa jamhuri wa muungano,na muungano huo hauna faida kwa wananchi wa tanganyika, unafaida kwa wazanzibari kupata nafasi za upendeleo, pamoja na haki ya kumiliki ardhi tanganyika wakati mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi zanzibar huu ni unyonyaji kama wakati wa ukoloni, swali ya kujiuliza nilini makamu wa rais, waziri mkuu ,pamoja na mawaziri waliyopewa nafasi kwa sababu ya uzanzibar wao walienda zanzibar kufanya kazi ya muungano kwa wananchi wa zanzibar moja kwa moja kama wanavyofanya hapa tanganyika huu ni unyonyaji usizingatia haki sheria na usawa kwa misingi ya kichama na kulazimisha kupindisha ukweli kama wanataka muungano ni serekali moja tu pemba na unguja zinakuwa mikoa mbona ccm imekuwa moja huu ni muungano wa kitapeli usiyo na faida kwa wananchi wa tanganyika zaidi ya viongozi wa ccm na ikajengwa mfumo wa upendeleo wazanzibari wanauziwa umeme ilitolewa tanganyika kwa bei nafuu huku wanganyika wakiuziwa ka bei ya juu, mali iktolewa tanganyika kwenda zanzibar ailipiwi kudi, lakini ukitoa mali zanzibar kuja tanganyika unalipia kodi huu ni muungano wa aina gani, zanzibar ina katiba yake, zanzibar ina bnendera yake, zanzibar ina wimbo waka, na ina rais wake anayepingiwa mizinga 21 na kukangua gwaride hapa kuna nchi mbili inayotawaliwa na chama kimoja ndiyo ukweli mchungu kwa wanyonyaji weusi,walijaa kiburi na ulevi wa madaraka, kwa kung'ang'ania kulazimisha matakwa yao kwa gharama yoyote hii aikubaliki akiungwa mkono na watumwa wachache wa kiuchumi na kifikra na kuogopa kupinga matakwa ya manyabara wa wakoloni hao kwa kuofu ya kukosa chakula
 
makosa ya woga yatamaliza taifa, CCM ni woga watupu, JK mwoga wa kutupwa, sio mbaya kusema CCM ikifa ni faida kwa umma na hasara kwa wachache. Je CCM ife???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom