Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,621
- Thread starter
- #41
Ulichosema hapo ni sawa na kusema ukimpa "Vin diesel" Passo, na ukimpa Bugatti Veyron Super Sport: 268 mph. haita athiri speed atakayokwenda nayo.RAM .. ROM.. havihusiani na ulaji wa data kuwa mkubwa hata siku moja.. wala hiyo network Generation haihusiani na ulaji kuwa mkubwa kwa namna moja ama nyingine..
Zungumzia swala la OS yaan software husika ya simu/computer husika.. na settings zilizowekwa.. mfn win 7 na win 10 ktk same pc specs aliyeweka win 10 atatumia bandwidth kubwa kuliko aliyeweka win7 kutokana na software resources zinazorun nyuma ya pazia na updates za mara kwa mara..
Hiy hiyo win 10 ukiifanyia settings itatumia bandwidth kiduchu compared to win7 ambayo haijaguswa ktk upande wa settings (cfg)..
Same applied ktk hizi sim janja .. Ios na Android zinatofautiana.. pia hiyo hiyo android ina version nyingi (kernels mbali mbali)
Itoshe kusema kwamba ulaji wa bandwidth unategemea kias kikubwa na OS pmj na Cfg na sio network settings or RAM or ROM.
Ngoja nikufunze kitu ndugu, kuna kitu kinaitwa Consumer behavior towards product features. Simu hapo awali ilikuwa ni kifaa cha kupiga na kupokea voice calls tu.
Leo tume advance tunatumia simu kutazama movie, kuvideo call, kutext kwa qwerty style, kubrowse, games, etc.
Hii inafanya simu kuwa na features nyingi sana ambazo zinaamsha mahitaji mapya ya simu za mkononi.
Hii haja au demand ndio inakuja kuzaa malipo mbali mbali ya vifurushi kulingana na uwezo wa simu yako.
Kama si kweli nambie je, gharama za matumizi ya simu ya kitochi ni sawa na smartphone?! Je features za kitochi ni sawa na smartphone?!
Je features za simu za kisasa hazijachangia uhitaji wa bajeti ya matumizi ya simu tofauti na simu za zamani?!
Kama ulikuwa haujui now umejua.....