Kinachosababisha JK aogopwe

kurekebisha chama ni jambo muhimu ili maendeleo yapatikane , lakini ieleweke pia kuwa kuongoza sikazi rahisi,unapoangalia uchezaji wa mpira ukiwa nje ya kiwanja unaona kila saa watu wanapiga kilele aaaaaaa
kama vile mchezaji amekosea angetakiwa afanye vile unavyoona wewe ulie mbali, lakini ukiwemo humo ndani ya kiwanja utacheza vibaya sana, maana wale ni the best players ndio maana wako pale, naamini mnanielewa.
Chadema ni chama cha kikabila nani kabila lenye nguvu maana wamesoma zaidi na mapema zaidi ya makabila mengine, kwa maanahii nchi jirani ina tatizo hilo na wate tunaliona mnataka kuleta matatizo haya kwa nchi hii jamani hebu zindukene acheni kushabikia umwagaji damu na umasikini endelevu wakati huo huo kabila hilo likiendelea KUTAJIRIKA kupita kiasi ZINDUKENI. TUIKOSOE CCM TUKIWA NDANI YA CCM KWA KUGOMBANIA MADARAKA TOKEA NGAZI ZA UBALOZI TUACHE KUJIONA ILI MLIOSOMA MLETE MABADILIKO YA KWELI.

WANA JF mnasemaje kuhusu article ya mchungaji malasusa mna maana mmependelea alivyosema na kufanya kama ilivyotoka katika gazeti lenu mwananchi, hii forum ya watu wenye kupendelea udini mbona hamtolei tamko hii si forum sahihi kwa watanzania
 
Tuwekee basi tuichambue............usibali lengo la hii posti........inaongelea JK na visasi......hiyo ya Malasusa weka kama post inayojitegemea siyo kuvamia topiki za wenzako na kuharibu lengo!
 
Obama kamchagua Mama Clinton, Mkapa alimchagua Kikwete na hata Dr.Slaa atamchagua Kikwete kuwa balozi wetu Marekani!...

Ni kwel Mkandara. Kwa siasa zilizokomaa ni kwamba mnalumbana kwenye kampeni mkishamaliza uchaguzi mnakaa chini mnasema sasa ni wakati wa kujenga nchi wakati wa malumbano umeisha. Hata wale ambao walikuwa hawakuungi mkono ali mradi unajua ni wachapakazi unawapa vyeo kwa ajili ya kulijenga taifa. Kikwete aliwateua Magufuli, Nagu na Mwandosya kwa kulazimishwa lakini alikuwa hataki kabisa.
 
kurekebisha chama ni jambo muhimu ili maendeleo yapatikane , lakini ieleweke pia kuwa kuongoza sikazi rahisi,unapoangalia uchezaji wa mpira ukiwa nje ya kiwanja unaona kila saa watu wanapiga kilele aaaaaaa
kama vile mchezaji amekosea angetakiwa afanye vile unavyoona wewe ulie mbali, lakini ukiwemo humo ndani ya kiwanja utacheza vibaya sana, maana wale ni the best players ndio maana wako pale, naamini mnanielewa.
Chadema ni chama cha kikabila nani kabila lenye nguvu maana wamesoma zaidi na mapema zaidi ya makabila mengine, kwa maanahii nchi jirani ina tatizo hilo na wate tunaliona mnataka kuleta matatizo haya kwa nchi hii jamani hebu zindukene acheni kushabikia umwagaji damu na umasikini endelevu wakati huo huo kabila hilo likiendelea KUTAJIRIKA kupita kiasi ZINDUKENI. TUIKOSOE CCM TUKIWA NDANI YA CCM KWA KUGOMBANIA MADARAKA TOKEA NGAZI ZA UBALOZI TUACHE KUJIONA ILI MLIOSOMA MLETE MABADILIKO YA KWELI.

Mhh, mkuu mbona unanitisha! kumbe wewe lengo lako kubwa ni kuwania madaraka ndani ya CCM. Ok sasa hukusikia CCM ina wenyewe? Wewe ni mtoto wa mzee Nnauye? au ni mtoto wa mzee Mwinyi, au una undugu na Makamba? au hujui maana ya CCM damu, baba yako aliwahi kuwa kada wa chama? alifikia ngazi ipi? HIVI UNDUGU HUU NA UKABILA HUU WA CCM HUUONI?

Kama familia yako haina mizizi tangu enzi za TANU au pengine wakati wa mwanzo wa CCM na vilevile kama wewe sio fisadi, huwezi kupenya CCM. CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NI MAFISADI NA WAKE ZAO, NA WAJOMBA ZAO NA VIMADA WAO NA WATOTO WAO.

MHESHIMIWA SUBIRA WITH ALL DUE RESPECT WHO ARE YOU TO REIGN IN THE MIGHTY CHAMA CHA MAFISADI?????????????
 
CCM imezidisha kasi kimekuwa chama cha kifamilia. Ni chama cha familia fulani chache, wengine wasindikizaji tu.
 
attachment.php

Hicho kitu kilicho wekwa kwenye glass ya muungwana!
 
huyu jamaa ni mlipa visasi namba moja nchi hii, na pia ni mlipa fadhila mkubwa.

1. P. Mang'ula aliyekuwa mkti wa kampeni za ccm 2005 alionyesha kutomkubali matokeo yake kila alikojaribu kugombea kwenye chama kapigwa chini. Mkono wa jk haukumwacha ikiwemo kwenye kugombea uenyekiti wa ccm mkoa wa iringa. Leo hii kakaa benchi mpaka amegeuka benchi yeye mwenyewe.

2. S. A. Salim alipoamua kugombea urais 2005, jk alimuona kama msaliti na kumzushia kuwa ni mwarabu wa oman hivyo hastahili kuwa rais. Hili limerudiwa kwa bashe ambaye hata ugomvi wake haukuwa na jk bali na kundi la rk. Lakini jk mwenyewe akarudia yale ya salim, kwamba bashe, kada wa ccm ati ni msomali......

3. Prof. F. Sarungi katika moja ya mikutano ya mwisho ya bunge 2005 aliombwa na jk wakiwa bungeni, wote wakiwa mawaziri ili amsaidie kwa kuwa jk alikuwa na nia ya kugombea. Prof alikataa ombi hilo kwa dharau kubwa, matokeo yake tunayaona leo sarungi kafifishwa kabisa.

4. E.n lowasa, b.p mramba, a. Mgonja, a. Chenge, j. Mungai na wengineo walionyesha kuanza kuleta fukuto za chini chini za kuhoji utendaji kazi wa jk, kilichotokea ni kwamba katika jambo lililohusu serikali nzima ya jk wametolewa kafara wao. Swahiba wake z. Meghji ambaye ni muhusika mkuu, tena siku zote ndiye mweka hazina wa pesa za wizi zinazotumika kumuweka jk ikulu ikiwemo zile za epa, yeye hakuguswa. Na rostam je? Na kagoda je? Wakiguswa nchi itapasuka????? Na hapa watanzania wamepigwa changa la macho......

5. H. Mwinyi na uwaziri wa ulinzi ni matokeo ya kulipa fadhila kwa mzee a. H. Mwinyi.

Mengineyo utajaza mwenyewe kama:

I) v. Kamata na kanafasi ka bot, na ubunge viti maalum, na kusomeshwa nje, fadhila kwa kazi gani?

Ii) mrema alivyolamba miguu ya jk na kusaidiwa matibabu, kisha karudi, sifa zote kwa jk, jk tayari katoa ridhaa yake kuwa ccm wamsaidie vunjo apate ubunge.

Iii) n. Nnauye mambo vipi? Hapa siongezi neno....maana ya juzi haya unayakumbuka???

Iv) l. Masha muajiri wa rk naye ni muajiriwa wa baba yake rk au ikoje?.....

V) unadhani wabunge waliotetea sana kiswahili bungeni walifanya hivyo kwa uzalendo??? No..no...no... Usidanganyike kirahisi, hapo watu walikuwa wanamkingia kifua mama.....mama....mama jamani hamuelewi....mama sk ebo? Fadhila zinatafutwa.

Shibuda shibuda, naona kalamu inagoma goma

usione watu wanaunga unga mkono ccm na jk humu na kwingineko. Moyoni hawamtaki lakini wanahofu kubwa juu ya kitakachojiri akichukua nchi.

Nchi haitaweza kuendelea bila watu kuacha unafiki na woga huu wa kipuuzi!!!!

Jk wapi babu seya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

unatisha!!
 
wewe ndio hujaelewa mleta mada, umeamua kuelewa kivyako... sikiliza usikilizwe!!

Mkandara said:
Obama kamchagua Mama Clinton, Mkapa alimchagua Kikwete na hata Dr.Slaa atamchagua Kikwete kuwa balozi wetu Marekani!...
Waafrika hatuwezi kuzifikia siasa za nchi zilizokwisha endelea, Kama Marekani na Uingereza... Kutolea mfano kwa nchi kama Marekani ni katika kujifariji tu, lakini si hali halisi ya kisiasa za Kiafrika.
 
mi nawauliza wenye kutaka mabadiliko, haya yametokea kwenye nchi zetu nyingi za kiafrica,Zambia n.k wamebadilisha vyama viliyooriginate kuleta uhuru, lakini kuna nini cha ajabu mlichokiona kimebadilika jamani tusijidanganye, tutatue matatizo yetu kwa njia sahihi. CCM hadi sasa haijakaa vyema tokaa ichukue nchi,miaka zaidi ya hamsini, hilo ni wazi , lakini tukiitoa madaraka leo tutegemee miaka mingine sitini au zaidi kwa chama kingine kukaa sawa,
Subira,
Sawa, umetoa mfano wa Zambia. Chiluba was a disappointment. Lakini angalia Kenya. Wenzetu sasa wametulia. Wana katiba mpya. Mamlaka ya rais yanajulikana, na si mtu wa kuogopwa tena. They are moving forward. Malawi vile vile. Ule ubabe wa Ngwazi kwishney. CCM imekuwa mamlakani miaka 49 na kizazi hiki cha Kikwete kimejisahau wanaanza kuturayarishia usultani. It is time for them to go. CCM haijakaa vyema kwa sababu ilikiuka misingi ya uanzishaji wake yenyewe. It was on the right track mpaka hawa mafisadi walipoi hijack.
 
Taarifa tulizozipata hivi punde ni kuwa anashirikianana wafanya biashara kuchakachua kura huko sauzi na shehena ya uchafu wake imekamatwa kule Tunduma........Kweli mtu huyu ni wakuogopwa...............................kama mweye ukoma...........ndivyo mzee kifimbo alivyotuasa hivyo................................................
 
kurekebisha chama ni jambo muhimu ili maendeleo yapatikane , lakini ieleweke pia kuwa kuongoza sikazi rahisi,unapoangalia uchezaji wa mpira ukiwa nje ya kiwanja unaona kila saa watu wanapiga kilele aaaaaaa
kama vile mchezaji amekosea angetakiwa afanye vile unavyoona wewe ulie mbali, lakini ukiwemo humo ndani ya kiwanja utacheza vibaya sana, maana wale ni the best players ndio maana wako pale, naamini mnanielewa.
chadema ni chama cha kikabila nani kabila lenye nguvu maana wamesoma zaidi na mapema zaidi ya makabila mengine, kwa maanahii nchi jirani ina tatizo hilo na wate tunaliona mnataka kuleta matatizo haya kwa nchi hii jamani hebu zindukene acheni kushabikia umwagaji damu na umasikini endelevu wakati huo huo kabila hilo likiendelea kutajirika kupita kiasi zindukeni. Tuikosoe ccm tukiwa ndani ya ccm kwa kugombania madaraka tokea ngazi za ubalozi tuache kujiona ili mliosoma mlete mabadiliko ya kweli.
subira,
hivi kwani lazima watu wote tuwe ccm? Hii ccm unayoshabikia unaijua vizuri? Embu tangaza kugombea uongozi halafu utagundua kuwa wewe ni sawa na tambala bovu tu, hawafai hawa, wameshajenga tabaka fulani lenye masalahi ya watu fulani, sidhani kama wewe mmoja wao, utaishia kutpiwa mfupa tu nyama wanakula wao.
 
"urafiki wetu hakuanzia barabarani"...lowasa....km matapeli km akina lwasa wanasema hivyo kwa kiongozi wa nchi unadhani kikwete kwa udhaifu mkubwa alionao anaweza kumchukulia hatua zaidi ya kusema ajali ya kisiasa...............KWENYE SIASA KUNA AJALI?....KIKWETE MNAFIKI KWELI LKN ATAIJUA TZ NI IPI HASA HAPO OCT31
 
kurekebisha chama ni jambo muhimu ili maendeleo yapatikane , lakini ieleweke pia kuwa kuongoza sikazi rahisi,unapoangalia uchezaji wa mpira ukiwa nje ya kiwanja unaona kila saa watu wanapiga kilele aaaaaaa
kama vile mchezaji amekosea angetakiwa afanye vile unavyoona wewe ulie mbali, lakini ukiwemo humo ndani ya kiwanja utacheza vibaya sana, maana wale ni the best players ndio maana wako pale, naamini mnanielewa.
Chadema ni chama cha kikabila nani kabila lenye nguvu maana wamesoma zaidi na mapema zaidi ya makabila mengine, kwa maanahii nchi jirani ina tatizo hilo na wate tunaliona mnataka kuleta matatizo haya kwa nchi hii jamani hebu zindukene acheni kushabikia umwagaji damu na umasikini endelevu wakati huo huo kabila hilo likiendelea kutajirika kupita kiasi zindukeni. Tuikosoe ccm tukiwa ndani ya ccm kwa kugombania madaraka tokea ngazi za ubalozi tuache kujiona ili mliosoma mlete mabadiliko ya kweli.

upupu
 
Mkuu Akashube nakubaliana na hoja yako 100%Jamaa kweli ni mtu wa visasi,labda tu niulize wana JF ni nini kilimpata yule jamaa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza na kuhamishiwa Morogoro kwa jina akiitwa Stephen Mashishanga alipotamka wazi kuwa anamsupport Sumaye kwenye uchaguzi mkuu wa 2005?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom