Kinachoniuzi humu kutojua jincia ya mtu mwanamke anatumia jina la ajabu unajua men kumbe jike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachoniuzi humu kutojua jincia ya mtu mwanamke anatumia jina la ajabu unajua men kumbe jike

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Eddy Love, Nov 26, 2011.

 1. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,862
  Likes Received: 6,313
  Trophy Points: 280
  Naomba kuboreshwe japo hata picha za kila user zweznawekwa.Ni mtamzamo tu
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe una tatizo sasa jinsia za watu ili ziweje??
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  we soma post za watu,utazijua jinsia zao tu au mwenzetu unataka mademu? Nalog off
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jinsia za watu unazitakia nini?
   
 5. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wasakaj walo chin ya viwango utawajua tu. Tena wewe ni me bila ubish!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  na sie wenye jinsia mbili, tuweke picha gani?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kama unatafuta mchumba anzisha thread! Mambo ya kuzukia watu pm yatakutokea puani,lol! Otherwise siasa hazina jinsia.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Siasa zake zimeona jinsia, huoni na jina katumia la kwenye cheti cha ubatizo

   
 9. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ulijoin jf ili ujue jinsia za members wengine
   
 10. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na ww mpole ni she
   
 11. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  post zote hizo za juu ni za jinsia unayoitaka wapo wengi chagua yeyote si unaona wanavyokushobokea tena wepesi sana maji mara1 maharage yanaiva
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Jinsia za watu kwani wewe unatafuta mchumba?
   
 13. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu nae.
  OTIS
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wengine nusu nusu... na hao waweke nini ??
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe nawe
   
 16. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  mkuu nenda fesbuku..
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wanchekesha
  Source: Faiza Foxy
   
 18. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wote humu ndani ni madume mkuu! kwani wew ni she!
   
 19. u

  utantambua JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono, jinsia kujulikana muhimu ingawa si lazima. Lakini badala ya kuwekwa picha kuwe na sehemu ya user kuindicate sex yake kama ni M au F.
   
 20. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Jamani msimlaumu huyu, kakimbia Feisibuku alidhani huku kuna ulaji. Kwanza angalieni alijiunga lini. Ikiwa kaja ili aungane na Great Thinkers atazowea tu, vyenginevyo nina wasiwasi kuwa hii itakuwa ndio thread yake ya mwisho.
   
Loading...