Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
540
1,000
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.

"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"

Diamond hayupo

Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.

Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.Wivu unaongeza msongo wa mawazo.
Kuwa makini...usije ukajinyonga.
Almasi ana uhakika wa kuishi maisha ya kifahari hadi kufa kwake....achana na almasi kwa sasa, tafuta pesa wewe.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.

Bongo kuna vichekesho sana.🤣🤣😂😂
Kwasababu dalili zote zilionesha Burna atashinda.

Wewe unafikiri kwanini walikuwa nyuma ya Burna na siyo mwingine ?
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,233
2,000
Wivu unaongeza msongo wa mawazo.
Kuwa makini...usije ukajinyonga.
Almasi ana uhakika wa kuishi maisha ya kifahari hadi kufa kwake....achana na almasi kwa sasa, tafuta pesa wewe.
Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!
 
munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,077
2,000
Ukute hata kuvaa nguo za kimasai ni adhabu ''muweza yote'' kaitoa ili mtu akapigwe na baridi kali ukumbini

Huwezi jua aiseeeeeeeee
 
Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
540
1,000
Fanya mambo yote lakini Acha Kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwao!
Hakuna aliyepewa umuhimu hapa...

Nikweli " Fanya mambo yako, acha kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwako".
Ila... Ni uchawi na husda kumtakia mabaya mtu ambaye hajakufanyia mabaya.
Ishi maisha yako..
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,599
2,000
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.

"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"

Diamond hayupo

Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.

Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.Msanii pekee kuchukua tuzo ya BET Tanzania ni Rayvan akiwa WCB hapohapo na sina hakika kama tangia 2010 mpaka 2021 kama kuna msanii nje WCB amekuwa nomineted BET zaidi waliopo WCB huku Diamond akiwa nomineted mara 3 lakini hajafanikiwa kushinda ila Rayvan alikuwa Nominated mara moja kachukua tuzo hiyo mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,120
2,000
Msanii pekee kuchukua tuzo ya BET Tanzania ni Rayvan akiwa WCB hapohapo na sina hakika kama tangia 2010 mpaka 2021 kama kuna msanii nje WCB amekuwa nomineted BET zaidi waliopo WCB huku Diamond akiwa nomineted mara 3 lakini hajafanikiwa kushinda ila Rayvan alikuwa Nominated mara moja kachukua tuzo hiyo mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ya rayvan usiifananishe na hizi, plz ficha ujinga wako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom