Kinachonifanya nisinunue subwoofer za Mchina ni hivi vitu

Sabufa ni upuuzi kama upuuz mwingine wowote..kuna kipindi nilikuwa nanunua kila mwaka, yan mwaka hauishi ishakufa.. nikaona huu ujinga.

Nilinunua redio ya mtumba (Sonny) saiz ina miaka karibia mitano inapiga kazi.
 
Kununua vitu vya Bei rahisi Kuna gharama kubwa.
Unaweza kuharibu vitu vyako vya thamani kwa sababu ya kuweka ndani vitu visivyo na ubora na visivyo salama
Kabisa mkuu...mtu kwa mwaka ananunua sabufa kama nyanya,sa kwa nin asijilipue na kuchukua kifaa cha maana badala ya kuokota okota miziki
 
sh.ngapi hii

K/Koo ina range kati ya elfu 30 hadi 45 inategemea na quality,si unajua vifaa vya kichina vinategemea na grade ingawa kimuonekano unaweza kuona sawa ila anayeuza ndio anajua bei za version.

Kwasisi tunaoshinda maporini inafaa sana maana ukiichaji inakaa na chaji karibu masaa 20 ukisikiliza kwa volume ya kawaida 8-10, max volume 30(original) feki volume 31.
 
Back
Top Bottom