Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

Toa ya moyoni mkuu, mchezo gani? Mbona unaonekana una hasira sana?
Walimzuia kuzika haina shida wacha wafu wazike wenzao.
Aliyeko madarakani kasaidiwa na Lowasa sasa wewe unabwabwaja nini?
 
Mbeya hiyooooooo.Ukawa
 
Attachments

  • 1439570617687.jpg
    1439570617687.jpg
    65.7 KB · Views: 2,188
hilo nalo jambo mwenye akili atafakali mjinga atupiliebali mie napita tuuuu
 
jamaa unaonyesha umeumia Lowasa kujaza watu lo pole ila ndo siasa sio kukatana tu bila sababu za msingi then uje utishie watu pole yako raha vichinjio tunavyo looooo ndorobooooooooooo we
 
Mh Lowasa nihakika amedhamiria kutoka moyoni atakuwa Rais iwe kwa fedha ama dam atahakikisha anakuwa Rais ila kunajambo anapaswa kukumbuka asifikiri watu kuwa kimya ndio kwamba wanamuogopa ama wanamtetemekea hapana ila amshukuru Mungu maana michezo michafu amekuwa akichezeshea wenzake nakujiweka pemben watu wanaijuwa ila watu walikuwa wanalinda status yake na taifa pia ila sasa yeye ndio kachukua dhamana kuichokonoa serikali, kumchokonoa rais alie madarakani na hata taasisi nyeti za taifa. Mimi namshauri ajitafakari maana kwa mchezo huu hata panya ktk nyumba yake watakufa pindi watu wenye taaluma zao watakufanyia kazi. Jana kanyimwa hata kuzika na kwa mwenye akili na busara anajuwa maana yakunyimwa huko. In shot hiyo ni msg kali na nzito kwako na familia nzima. Unajuwa kabisa ikulu hutoenda hata kama ungejaza viwanja mia vya mpira watu ila wameshakukata wemeshakukata na wanaenda kukukata tena na aibu ya mwisho itakuwa kubwa kuliko ya mwanzo. Uchungu wa mwisho utakuwa mkali kuliko wa mwanzo na dhambi ya usaliti itakutafuna hata umauti. Zisome nyakati na wakati pamoja nakuwa wazir mkuu hujuwi adhabu ya usaliti wako? Hakika nathubu kusema wakakupime akili. Polen sana vijana mnao mshabikia Lowasa. Kidumu chama cha mapinduzi. KIDUMU.

Hakuna mtu aliyemzuia kwenda kuzika,aliambiwa aende mwenyewe kuzika akasema kama kwenda mwenyewe bora asiende sasa wewe unaleta kelele gani?rudi tena ukapewe point vzr.
 
Unakasilika nini sasa unaandika utafikiri una wivu sana wewe nani sasa anastahili kama siyo Lowassa jiulize kabla ya kuleta mada yako usituletee hisia za kuku na mwewe hapa.
 
Siasa ndy zilivyo.. Daaah mkuu nguvu kubwa ya nn ktk kutueleza kutokuridhishwa na mwamko wa Watanzania wenzio...! Kama hauna uwezo wa think tank kuwa mvumilivu, jifunze, usome hapa jfs jinsi ya kuandika hoja nzr ueleweke.

Hakuna haja ya kuleta hoja ya vitisho vingi mpaka umtishie maisha mwanasiasa na family yake?

Subiri 25th October ufanye uamuzi wako wa busara.
 
Mh Lowasa nihakika amedhamiria kutoka moyoni atakuwa Rais iwe kwa fedha ama dam atahakikisha anakuwa Rais ila kunajambo anapaswa kukumbuka asifikiri watu kuwa kimya ndio kwamba wanamuogopa ama wanamtetemekea hapana ila amshukuru Mungu maana michezo michafu amekuwa akichezeshea wenzake nakujiweka pemben watu wanaijuwa ila watu walikuwa wanalinda status yake na taifa pia ila sasa yeye ndio kachukua dhamana kuichokonoa serikali, kumchokonoa rais alie madarakani na hata taasisi nyeti za taifa. Mimi namshauri ajitafakari maana kwa mchezo huu hata panya ktk nyumba yake watakufa pindi watu wenye taaluma zao watakufanyia kazi. Jana kanyimwa hata kuzika na kwa mwenye akili na busara anajuwa maana yakunyimwa huko. In shot hiyo ni msg kali na nzito kwako na familia nzima. Unajuwa kabisa ikulu hutoenda hata kama ungejaza viwanja mia vya mpira watu ila wameshakukata wemeshakukata na wanaenda kukukata tena na aibu ya mwisho itakuwa kubwa kuliko ya mwanzo. Uchungu wa mwisho utakuwa mkali kuliko wa mwanzo na dhambi ya usaliti itakutafuna hata umauti. Zisome nyakati na wakati pamoja nakuwa wazir mkuu hujuwi adhabu ya usaliti wako? Hakika nathubu kusema wakakupime akili. Polen sana vijana mnao mshabikia Lowasa. Kidumu chama cha mapinduzi. KIDUMU.

LOLOTE LITAKALOTOKEA KUANZIA SASA !!
YOUR "RESPOSIBLE"
BY 100%
ii
 
Usitufundishe woga wewe nyamanyafu, fanya unalodhamiria kufanya jeshi la wokovu likushukie!
Man you either put up or shut up, period. Bs

Anyway, no drug, not even alcohol, causes the fundamental ills of society. If we're looking for the source of our troubles, we shouldn't test people for drugs, we should test them for stupidity, ignorance, greed and love of power.

P. J. O'Rourke
 
Back
Top Bottom