Kinachomfanya charminglady kuondoka Jf ni hiki hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachomfanya charminglady kuondoka Jf ni hiki hapa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Aug 11, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baada ya kupambana ktk kutafuta kile ambacho nimekua nakitafuta kwa muda mrefu(kupendwa na charminglady),sasa nimeingia ktk ukurasa mpya,yaan kuelekea kufanikiwa,nasema kuelekea kufanikiwa kwa kuawa tayari charminglady anafanya maandalizi ya kuingia kwenye penzi zito na tamu la aina yake.kinachosumbua ni aibu ya kuonekana kunikubali wakati alikua ananikataa kwa nguvu zote.katika kuelekea kufanikiwa huku nawashukuru sana walionisaporti kwa nguvu zote bila kumsahau St. Paka Mweusi Judgement na wengine wengi akiwemo Ruhazwe JR,lakin pia niwashukuru na wale wote ambao wamekua wananichawia ktk kufanikiwa kwa hili.Natangaza rasmi kutokurudi nyuma katika kumsaka kipenzi,mlimbwende charminglady.Nakuahidi penzi lisilo na kikomo.MUNGU NISAIDIE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Napenda kutambua uwepo wa Sredi hii Jf for the time being !
  Nadhani imekuja at a proper time !
  I wish you all the best to earn a trophy !
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  jf bana!
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  no,sina bifu na mlimbwende cl,lakini kama kumpenda mtu ni bifu basi ninabifu,lakni kika mmoja anajua fika mimi kwa cl nimekufa nimeoza,nia yangu,dhamila yangu,ndoto yangu ni siku moja charminglady kuwa mpenzi wangu bas
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama daladala yani,huyu anapanda,yule anashuka,mwingine anasimamisha,pale kalala,huyu anachukua nauli,yaani full vituko
   
 7. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kaaazi kweli kweli!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mmmh aisifiaye mvua...............!!!si bure
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaz kidogo
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Pamoja sana kaka hakuna kurudi nyuma, hongera sana kwa hatua nzuri uliyofikia na mwambie tu apunguze aibu kwani kupenda au kupendwa si kosa la jinai.Ahadi yangu ya Honeymoon bado ipo palepale..
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hongera!
   
 12. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sasa sweetlove Bishanga tutaondoka lini humu maana wameshakutaja kila komenti
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  People always come n go,let her go as yushzo!
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  utajibeba....kuna hatari na wewe ukaaga humu ndani au ukaondoka bila kuaga maana sijui aibu utaiweka wapi si charminglady anakuwa wangu rasm
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Napenda kutoa taarifa kuwa naomba wakinadada wa chitchat msinifatefate kwani nipo kwenye muda wa uangalizi na mpenzi wangu mtalajiwa charminglady.amenitaka kuwa mbali na walimbwende kwa kipindi hiki ambacho ameenda kwa mganga wake kuniangalia kwenye TV ya asili.baada ya majibu kutoka hatua zingine zitafata.Nowa niko kwenye 90% ya kufanikiwa naitaji support zenu ili hii 10 iliyobaki niimalize mapema
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...