Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.

Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.

Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
Pot si leo pesa inaingia au
 
Poti poti umeharibuuuuuu!
Watu humu hawawahurumii potiii!
Basi hazina watakuwa wamewasikia!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom