Kinachojiri Sudan ya Kusini na vyombo vya habari

thehunk

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
524
225
naomba nianze kusema kwa kauli ya mwal. julius kambarage nyerere alisema dhambi ya ubaguzi haiwezi kuisha mara tu

unapoanza kumbagua ndugu yako kwa kusema wao ni wao ni sisi ni sis ndugu wana jf hali ni tete sana nchini sudan ya

kusini ,ila ninachokiona kwa hawa ndugu zetu ni dhambi ya ubaguzi ya kuona kuwa kuna north sudan na south

sudan...sasa vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ni kutokana na makabila kumi na saba tu na kuona kuwa kuna

wengine wanapendelewa na ile kitu inaitwa 'uneven distribution of national wealth' lakini ukiangalia kwa undani ni

ubaguzi tu ndio unasisi na u wao ndio unawasumbua najiuliza tu je wangekuwa na makabila zaidi ya 120 kama hapa

tanzania ingekuaje ? hapo ndio ninapomshukuru sana nyerere kwa kuweza kuyangungisha haya makabira mpaka hali ya

usisi na u wao hapa kwetu haipo kabisa

mwisho kabisa kushangazwa na propaganda ya vyombo vya habari vya mataifa yaliyoendelea kwa kuwahusisha north sudan kwamba wana wa finance waleta vita hawa wa south sudan
 

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,228
2,000
Mkuu hivi majuzi nilipata kazi nzuri tu southern sudan tena mkataba niliopewa uliruhusu mimi kwenda na familia yangu lakini niliangalia hali ya hewa roho ilisita kabisaa,nisije nikarudi maiti bora nibaki nchini kwangu tanzania amani teleeee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom