Baada ya kiapo cha wabunge wapya akiwepo Lucy Owenya, Shamshi Vuai Nahodha, Ritha Kabati na Semguruka, spika wa bunge mheshimiwa Ndugai ameanza na kijembe kwamba mechi ya asubuhi matokeo yalikuwa 3-1, akimaanisha CCM wameapisha watatu na CHADEMA mmoja.