Kinachoisumbua CCM ni plagiarism ya Fikra wasizozijua kwa kina za UKAWA

Hujakosea.Ndio maana rahisi kukuhamishia kwangu kuliko uweze nijibu KWANINI KWA MIAKA 50 CCM WANAWEZA KTAMKA UZALENDO ILA HAWAJAWAHI UELEWA. Punda ktk animal farm hakuwahi weza jifunza Alphabet zaidi ya A-D, akifika D anakuwa kachoka sana, ingawa anapania lazima afike Z. Ila nahitaji kurudia.Akirudia Kesho yake anapojaribu kujikaririsha akifika D ,anakuwa hoi tena. Hana tofauti na watanzania wanaosoma mitihadi ya board mbalimbali na walimu. Hawafiki Z ya hayo maeneo.Sasa utaelewaje taaluma za watu kwa kuiba vitabu vyao vyenye herufi ambazo zimezidi D? UZALENDO HADI YESU AJE WAJAMAA HAWATAKAA WAUJUE ACHILIA MBALI VITU KM MIKATABA,DEMOCRASIA,BANKING,ECONOMY,SHERIA KWA UJUMLA WAKE etc. wtajisifia kwa kuweza fika na usingizi mdogo.Siku wakikutana na walifika Z,wakapelekwa hadi G tuu msuli unawabana.
Unanletea hadithi ya kusadikika ya Orwell, ni literature nzuri sana na mfano halisi wa wale wanyama ni upinzani wa Tanzania.

Hamna fikra hata chembe halafu CCM wachukuwe ipi? Fikiri.
 
Ni za kufikirika kwa vile ni zao la akili.Zao ambalo hamuwezi fikiri na kulielewa achilia mbali kulielewa. Nilitegemea ungekuja na USHAHIDI KWAMBA CCM KTK MIAKA 50 WAMEWEZA ELEWA NENO UZALENDO. Achilia mbali kujua maneno Mapya km : SOKO HURIA,DEMOCRASIA, FREE SPEECH, HAWAJUI HATA MATUMIZI YA NENO KUTAMBUALIKA. MACCM YOTE YANATUMIA MANEO KUTAMBULIKA KM KUWA BORA. Ndio miprofeseri yenu inajitambulisha hivyo sasa MISULI INABADA .INAKIMBIA MECHI. By the way umeanza lini kuchukia hadithi?

Miaka 50 project gani ya ccm imefanikiwa? hata zile walizopewa zikiwa na usitawi haichukui muda mchwa wanamaliza.Hata SUKITA tuu.Ilikuwa kubwa uwezo wa ccm kuweza soma A,B,C kabla ya D usingizi unawazidi. Wapi hamlali jambo la kutumia akili likianza?Bungeni, ktk vikao vya mikutano?Vikao vya bodi?Shuleni, nyumba za ibada?Mna tofauti gani na punda au mkijitahidi nguruwe ktk unachoiita hadithi za kufikirika?Kitabu kina miaka zaidi ya 40, bado utadhani ni mashine ya kufyatua tofali ,na ccm ni tofali lililotoka humo ndani. Kwa ujumla CCM ni km wanaishi kile kitabu wamecheza vyema nafasi za wale wanyama.
 
Karibu sana Kamanda , kuna vijana wapya wa Lumumba walikuwa hawakujui nadhani sasa huu ni wakati ni lazima wakutambue .
 
Ahsante.
Hawa hata majina yao kuyaamini hadi MWENYEKITI WAO AWAPE UFAFANUZI NDIO WAAMINI. ?Hao ni Mifugo wa ANIMAL FARM. km Punda anayehitaji kumfuata nguruwe ambaye anaaminika kuwa kasomasoma kidogo novel na karatsi zenye plans za master wa shamba(Binadamu/oh UKAWA).
 
Ni za kufikirika kwa vile ni zao la akili.Zao ambalo hamuwezi fikiri na kulielewa achilia mbali kulielewa. Nilitegemea ungekuja na USHAHIDI KWAMBA CCM KTK MIAKA 50 WAMEWEZA ELEWA NENO UZALENDO. Achilia mbali kujua maneno Mapya km : SOKO HURIA,DEMOCRASIA, FREE SPEECH, HAWAJUI HATA MATUMIZI YA NENO KUTAMBUALIKA. MACCM YOTE YANATUMIA MANEO KUTAMBULIKA KM KUWA BORA. Ndio miprofeseri yenu inajitambulisha hivyo sasa MISULI INABADA .INAKIMBIA MECHI. By the way umeanza lini kuchukia hadithi?

Miaka 50 project gani ya ccm imefanikiwa? hata zile walizopewa zikiwa na usitawi haichukui muda mchwa wanamaliza.Hata SUKITA tuu.Ilikuwa kubwa uwezo wa ccm kuweza soma A,B,C kabla ya D usingizi unawazidi. Wapi hamlali jambo la kutumia akili likianza?Bungeni, ktk vikao vya mikutano?Vikao vya bodi?Shuleni, nyumba za ibada?Mna tofauti gani na punda au mkijitahidi nguruwe ktk unachoiita hadithi za kufikirika?Kitabu kina miaka zaidi ya 40, bado utadhani ni mashine ya kufyatua tofali ,na ccm ni tofali lililotoka humo ndani. Kwa ujumla CCM ni km wanaishi kile kitabu wamecheza vyema nafasi za wale wanyama.
Itakuwa umeyajuwa leo hayo maneno.

Tunamjuwa mzalendo wacha uzalendo.

Uzalendo wa kushangilia mali za nchi yako zinapokamatwa?
 
Mpaka ufe?Ungekuwa unajua ungewasaidia hao walioshindwa komboa bombadier,na kukubali aibika ktk big stage waliyojiandalia. UMEAHSENDA WASAIDIA KUANUA JUKWAA?

Wazalendo?Wale wanaoandika na kusoma lile gazeti lenu km kaniki?Nania kakuambia ni cheap kuwasaidia CCM?Mngekuwa mnajua uzalendo mngekubali kusaidiwa kutopeleka hela zikashikwe, huku mkiwa mnajua mnadaiwa.Mngekuwa wazalende msingepoteza mali za umma kumaliza upiinzani ambao ni ndugu zenu.
 
UKAWA awana lolote la maana wanalolijua tangia baraza la mawaziri limeanza kazi na hatua za mwanzo watu walishatoa hypothesis aitochukua muda watu kuona nafuu ya uongozi wa JK kushinda Magufuli despite his good intentions kwa sababu ya vilaza anaowapa nafasi na aina ya maamuzi yao.

Jakaya Kikwete naweza kukujibia swali lako.

Kwanini Tanzania maskini

Tatizo la hii nchi ni wanasiasa wasio na uwezo sio CCM wala UKAWA wengi awana qualification za kuitwa wanasiasa na wala sio fani yao tumejaza watu wenye kujua kujipendekeza kuendesha nchi bila ya kuwa na sifa sahihi na hapo ndio tatizo lilipo.

Tanzania inahitaji diaspora largelu sio watu kutoka vijijini kuongoza nchi kama lengo ni kuendelea.
Ngoja nikamuulize km baada ya Bombadier, madhara ya maamuzi ya kwiango cha chini ,yataanzia kuingia hatua kuvuna hadi lini.Kwa muda huu, mtakuwa busy sana kutafuta funguo kwa Lissu.
 
Mkuu natambua una uwezo mkubwa sana pale unapoamua kuwa analytical. Hila nilisha kwambia huko nyuma siku ukivuta bangi zako unakuwa uweleki sasa mambo ya bombardier mimi yananihusu kivipi.
 
Yanamhusu huyo unayemtetea na muenendo wake kwa sasa maada ya kukutana na hii dhoruba.
 
As much as I believe in him, he is not objective, an egotist and too emotional; a bad combination. Kutetea mtu wa aina hiyo kwenye kila jambo kisa ana dhamira njema inabidi uwehuke kwanza.
 
Haya nimefunga mdogo.Ktk hili nimenyoosha mikono.
 
ukawa hawajawahi kuwa na ajenda za kina za kulinufaisha taifa letu, badala yake wametuonesha jinsi walivyo mabingwa wa kubadiri gia angani.
 
Walikuonyesha na ukaona na unakiri hilo?Hicho walichokuonyesha kinaitwa weledi?
 
Sasa wanajipanga kuja na copy yao ya democrasia baada ya Kenya huku wakiwa hata hawajui mini wanaimba.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom