Kinachoisumbua CCM ni hiki hapa:

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Kwa maoni yangu CCM bado wanaamini dawa ya kuwaongoza watanzania milele ni kutowapa elimu, na kuwapandikizia viongozi wasiowapenda. Hii inaonekana kwenye majimbo mengi ambayo kuna wabunge wamepita bila kupingwa ile hali hawatakiwi na wananchi.

Hii ina maana gani kwa wananchi, na inmadhara gani kwa wananchi, maanake ni wananchi wengi wameshafahamu haki zao na watatumia nguvi kudai na kuilinda haki zao kama tulivyoona kwenye majimbo mengi ya uchaguzi.


Peoples Power
 
Hii inaonekana kwenye majimbo mengi ambayo kuna wabunge wamepita bila kupingwa ile hali hawatakiwi na wananchi.

Kwa hapa tatizo si elimu ila NEC isiyo kuwa huru na matokeo yake wagombea wengi wa upinzani majina yao yalifutwa na wasimamizi wa uchaguzi ambao vile vile ni wateule wa wagombea wa CCM....................kama vile Rungwe Mashariki na Magharibi na Waziri wa TAMISEMI Kombanei...................................hapo si elimu haba ila dhuluma ya wazi ya CCM
 
Nakuelewa mwanamabadiliko, isue ni elimu ya watu ndo maana maeneo ambayo watu wameelimishwa vya kutosha kama Karatu, Moshi Mjini, Kigoma Kaskazini etc hawawezi kufanya hivyo, maana na wao wanaangalia na watu wa kuwafanyia hivyo.

Utaona 2015 hawataengua mtu maana kama ni mkurugenzi watu watamfuata kwake.
 
Back
Top Bottom