Kinachofuatia ni wazazi wa Wazazi wa Elizabeth Michael(lulu) kufunguliwa kesi

sheria ya Tanzania ikoje.Kiukweli hata mimi ningependa kuwashitaki hawa irresponsible parents

Kimsingi wao ndio walitakiwa kuwa punished

Kuna watoto wengi sana wanaharibika siku hizi kwa sababu ya makosa ya kimalezi ya wazazi

Mzazi unavaa suti alafu unashindwa kumlinda mwanao...pumbavu kabisa
 
Kabisa kabisa, katoto kalikuwa "abused" kabla hakajakomaa, wazazi walifaidika na haka katoto kutumia mwili wake, hata adhabu kaliyopewa hakastahili, kalitakiwa kaende kutibiwa kwanza, na maneno mtaani siyo Kanumba tu, wanadai kuna wengine, tena wazito, labda kwasababu hawapo duniani..
adhabu anastahili sana ili iwe fundisho kwa watoto wengine
Lulu hakuwa abused.Kwani kanumba alikuwa wa kwanza kwake.Mbona hamumsemi Ali Kiba? Mbona hamumsemi Dr Cheni? Mbona hamuwasemi na wanafunzi wenzake wa Perfect Vision
Lulu anastahili adhabu..and so do wazazi wake
Watoto wengi wanaharibika sana.Inapaswa itolewe adhabu kuwa fundisho.Tena two years chache sana
 
Kwa jinsi mtoa mada alivyochambua mada yake ni sahihi kabisa tena mimi nakupongeza kwa uchambuzi wa mambo
Wengi wameponda mada yako bila kujua undani wake lakini kihualisia huyu binti alifanywa kitega uchumi na wazazi wake hata huku mitaani kwetu wazazi style hii wapo wengi sana

Kama binti wa chini ya 18 anaachiwa alale na mtu mzima eti kisa tu anacheza movies huo ni ulimbukeni wa hali ya juu,kama jamii yatupasa kujifunza kitu kutoka kwa huyu binti na wazazi wake juu ya maisha waliyokuwa wanaishi

Mtoa mada nakupongeza kwa kuangalia suala hili kwa jicho la tatu
 
Umenishangaza tu kumjua lulu hizi wiki mbili na huyo kadumba badala ya kanumba coz kwa lile tukio yani km ingekuwa ni wimbo basi ilikuwa big hit all over East Africa kila kona walijua, sijui we ulikua wapi tu
Mkuu humu JF watu wanatoka au wanaishi kila pembe ya dunia na wana umri tofauti.
Usidhani kila mtu wakati huo alikuwa ana umri mkubwa au jamii aliyo kulia alikuwa anaweza kufuatilia wasanii wa bongo movie au bongo flava. Wengine humu hawamjui Ray Kigosi ni nani hadi sasa.

Wenzio saa hizi watoto wa miaka 12 ukiwauliza Beethoven wanamjua lakini Diamond Platinum au Mr. Pasua kichwa hawamjui na wapo bongo hapa hapa.
Wao wanamjua LeBron James au Christiano Rolnaldo na Messi lakini Shiza Kichuya hawamjui wala Ibrahim Ajibu.
Hawamjui Cheka wala Japhet Kaseba wanawajua akina Anton Joshua na akina Lewis Hamilton, Usain Bolt.
Hawajui Ndondo Cup au VPL wanaijua NBA na Grand Prix.

Hawajui Clouds TV wala ITV Tanzania wanazijua BBC, FOX News, CBC News, CNN, n.k.
Hawazijui Bongo star Search au Maisha Plus wanazijua The X-Factor na Britain's/America's Got Talent Shows.
 
me sina timu nae wala sio shabiki wake halafu sijajibu kwa hasira/panic, nilitaka uone kwenye hoja yako hakuna hata moja inayoweza mshitaki mzazi yeyote wa lulu but unless ulikua unasubiri [HASHTAG]#teamlulu[/HASHTAG] zije kukupa kashkash!!..
 
nashukuru mkuu kuyaweka haya wazi. maana wengine hawataki kuangalia the otherside. ilikuaje alisema kuwa kipindi hicho alikuwa na miaka 16? sifaham ni mwaka gani. je mahakama haijaangalia hili la kudanganya kuwa huyu mtuhumiwa anaweza kuwa amedanganya mengi zaidi?

Kumbuka mwaka mmoja kabla ya mauaji ya Kanumba, Lulu huyo huyo alikuwa amesherehekea Birthday yake ya miaka 18 kama si 19.

Hili la kusema aliua akiwa minor ni utata mtupu.

Lakini pia Lulu ni mwongo na mtukutu tu. Habari za kukataa shule na kuanza na mashuga dadi waulize walimu shule alokuwa akisoma. Umalaya na uwongo, jeuri na ujinga ndiyo rangu halisi za haka kajukuu kangu.
 
Wenzio saa hizi watoto wa miaka 12 ukiwauliza Beethoven wanamjua lakini Diamond Platinum au Mr. Pasua kichwa hawamjui na wapo bongo hapa hapa.
Wao wanamjua LeBron James au Christiano Rolnaldo na Messi lakini Shiza Kichuya hawamjui wala Ibrahim Ajibu.

Hawajui Ndondo Cup au VPL wanaijua NBA na Grand Prix.

Hawajui Clouds TV wala ITV Tanzania wanazijua BBC, FOX News, CBC News, CNN, n.k.
HUU NI UONGO WA WAZI KABISA SAMAHANI LAKINI ;)...
 
chukua like. shida kubwa watu wana assume wao wanaowajua wote tutakuwa tunawajua. huyo kigosi tena umentajia sijui anahusika na nini... nadhani nina tatizo .ila ukinambia shaban robert,ukinambia marijan rajab,ukinambia patsy cline, rene wendy, gregory isaac, the commodores, the bettles, peter tosh,bob marley, sam cook etc. nawaelewa hao vizuri hata historia zao naweza kukupa. na nimezaliwa miaka ya earl 70s . sasa jamaa anadhan wote lazima tutakuwa tunamfaham huyo jamaa marehemu au huyu bint lulu. mi kwa hulka yangu ingekuwa ngumu kumfaham nimekuja kumfahamiana humu ndani kila post anatajwa nikasema nimfaham kumbe anaonekana kwa picha bint tu ila kwa matendo....
Mkuu humu JF watu wanatoka au wanaishi kila pembe ya dunia na wana umri tofauti.
Usidhani kila mtu wakati huo alikuwa ana umri mkubwa au jamii aliyo kulia alikuwa anaweza kufuatilia wasanii wa bongo movie au bongo flava. Wengine humu hawamjui Ray Kigosi ni nani hadi sasa.

Wenzio saa hizi watoto wa miaka 12 ukiwauliza Beethoven wanamjua lakini Diamond Platinum au Mr. Pasua kichwa hawamjui na wapo bongo hapa hapa.
Wao wanamjua LeBron James au Christiano Rolnaldo na Messi lakini Shiza Kichuya hawamjui wala Ibrahim Ajibu.
Hawamjui Cheka wala Japhet Kaseba wanawajua akina Anton Joshua na akina Lewis Hamilton, Usain Bolt.
Hawajui Ndondo Cup au VPL wanaijua NBA na Grand Prix.

Hawajui Clouds TV wala ITV Tanzania wanazijua BBC, FOX News, CBC News, CNN, n.k.
Hawazijui Bongo star Search au Maisha Plus wanazijua The X-Factor na Britain's/America's Got Talent Shows.
 
huwezi elewa. nikuulize unamfaham vipi james douglas ukimfananisha na sony liston? nipatie ulinganifu wao. unamfaham marlon brando? gary cooper?sidney poitier?john wyne? etc. nilikwambia mwaka 2002 nilikuwa na mzungu flan sehemu hamfaham rkelly kabisa. wakati huku tanzania watu wanamfaham sana rkelly. alinitajia wanamuziki wa weusi ambao sijawah wasikia nikaanza kuwasikiliza toka kwake.
HUU NI UONGO WA WAZI KABISA SAMAHANI LAKINI ;)...
 
Nimeshangaa sana coz lile tukio lilitrend km wiki mbili hivi media zote tv, radio na social networks ila hakujua lkn hukumu ya jana tu kajua

Kanumba na Lulu ni wasanii hivyo usidhani kila mmoja ni mpenzi wa vitu kama usanii na udaku.

hizi siku mbili tatu nimekuta threads nyingi sana zikihusiana na mwanamke mmoja anayeitwa lulu.binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka kumfaham
 
nimeandika kiswahili lakini bado hukuweza kuelewa. nmekwambia kabisa kuwa ni kama week mbili hivi nimekuwa nikiona humu ndani habari za huyo bint ndo nikajikuta nimemfaham.kabla ya hapo sikuwa namfaham na ningemfahamia wapi au mazingira gani?mimi sijui anahusika na nini zaidi ya kuambiwa ni mwimbaji wa bongo flavor na huyo mwenzie marehem kadumba... sijawha sikia hata nyimbo zao.

Nimeshangaa sana coz lile tukio lilitrend km wiki mbili hivi media zote tv, radio na social networks ila hakujua lkn hukumu ya jana tu kajua
 
mwelezee huyu jamaa maana hawa ndo jmaa huwa wanauliza "UNANIJUA MI NI NANI?" wakidhan kila mtu ana muda na mambo wanayopenda wao au jinsi wanavyofahamiana wao.

Kanumba na Lulu ni wasanii hivyo usidhani kila mmoja ni mpenzi wa vitu kama usanii na udaku.
 
nashukuru mkuu kuyaweka haya wazi. maana wengine hawataki kuangalia the otherside. ilikuaje alisema kuwa kipindi hicho alikuwa na miaka 16? sifaham ni mwaka gani. je mahakama haijaangalia hili la kudanganya kuwa huyu mtuhumiwa anaweza kuwa amedanganya mengi zaidi?

Tatizo ni mfumo wetu wa upelelezi bora liende!. Wanasheria wetu pia hawakusanyi ushahidi wa kutosha kutetea hoja zao matokeo yake, mambo mazito yanafanywa mepesi!
 
Hiyo kesi Dr Luis shika ataisimamia kafungueni tuone kama mtatoboa
 
Kabisa kabisa, katoto kalikuwa "abused" kabla hakajakomaa, wazazi walifaidika na haka katoto kutumia mwili wake, hata adhabu kaliyopewa hakastahili, kalitakiwa kaende kutibiwa kwanza, na maneno mtaani siyo Kanumba tu, wanadai kuna wengine, tena wazito, labda kwasababu hawapo duniani..
Chakula cha wakubwa hicho
 
Back
Top Bottom