Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,475
1) Wanafunzi wasio na hadhi ya kusoma hizo shule wamejazana kule.
kuna kundi la aina mbili
i) Wale ambao wameiba mtihani wa la saba kupitiliza. Huko kwenye hizo shule kuna ambao hata wangefanya mtihani wenyewe wenyewe,shule za kata wasingechaguliwa.
ii) Wale ambao walipata maksi za kawaida kwenye mtihani ila wazazi/walezi wao wanaenda kuomba nafasi kwa wale wanaopanga wanafunzi kwenye hizo shule.
Cases chache ni hizi
i) Kuna ambao wanaenda huko kwa ujanja wa hapo juu ila hujituma na mwisho wa siku nao hufaulu,hapa ni lazima mtoto awe na uwezo fulani,asiwe mchovu sana.
i) Kuna ambao walienda wakiwa na hadhi ya hizo shule ila wakaacha kukaza mwisho wa siku wakaanza kupata za kawaida,sio kufeli.
SERIKALI IKITAKA KUAMINI HILI IENDE NA MTIHANI WA DARASA LA SABA IKAWAPE WATOTO WALIOINGIA FORM ONE MWEZI WA KWANZA.