ommywamvomelo
Member
- Nov 17, 2013
- 18
- 2
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na watanzania wa mwaka 2005/2010.
Hofu yangu ya kumzungumzia zzk kwenye majukwaa ni kumjenga na si kuchafua/kumbomoa zitto kama tunavyo kusudia.
Kitendo hiki kinafanya watu waanze kujiuliza who is zzk mpaka anunukiwe/akihujumu chama?,sasa sikuajiosha/akizipangua hoja hizi atakuwa mtu mashuhuri sana na atakuwa na wafusi wengi sana.
"Hatua hii itakuwa imemjenga zaidi kuliko kuliko kumbomoa".
We need to review this plan.