Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Ukiangalia katika Taarifa za habari na Mitandao ya kijamii kuhusiana na vurugu zinazoendelea Marekani, utagundua kuwa asilimia kubwa wanaoandamana au kufanya vurugu ni Wazungu.
Wazungu wameungana na watu weusi kuonesha hisia zao dhidi ya uonevu unaofanywa na vyombo vya dola na sio ubaguzi wa rangi.
Ukifikiri out of the box utagundua kuwa hata kama police aliyefanya mauwaji angekuwa mweusi, bado watu wange riot kupinga uonevu unaofanywa na vyombo vya dola.
Ndyo maana huoni waafrica wakishambulia wazungu bali Raia wote bila kujali Race zao wameungana pamoja wakipambana na dola.
Hili hata hapa Tanzania inabidi liwe fundisho. Watu wanaweza kuvumilia uonevu wanaofanyiwa kwa muda mrefu ila tukio dogo sana linaweza amsha hisia za watu na watu wakaamua kuungana bila kujali utofauti wao wa vyama vya siasa, dini au kabila