Kinachoendelea TANESCO ni kumfitinisha Rais Samia kwa Wananchi

Msemaji_

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
436
500
Kuhusu hitilafu ya mfumo wa LUKU iliyotokea tarehe 17 Mei 2021 imeshafanyiwa kazi na wateja wetu pia walijulishwa, kwa sasa huduma zinapatikana kawaida kama hapo awali.Je unapata changamoto gani? Unanunua umeme kwa njia gani?
Kuna ndugu mmoja hapa mtaa wa segerea mata ya mlowo wilaya ya mbozi mkoani songwe tokea amefungiwa umeme haujawahi waka ndani na akienda tanesco ofisini zilizopo mjin vwawa anazungushwa

Ni umeme wa Rea alifungiwa tokea miaka hiyo na haujawaka ndani
 

TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,423
2,000
Kuna ndugu mmoja hapa mtaa wa segerea mata ya mlowo wilaya ya mbozi mkoani songwe tokea amefungiwa umeme haujawahi waka ndani na akienda tanesco ofisini zilizopo mjin vwawa anazungushwa

Ni umeme wa Rea alifungiwa tokea miaka hiyo na haujawaka ndani
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM

Tusaidie taarifa zake kamili tumuhudumie tafadhali
 

TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,423
2,000
Wanakera sana na kukatakata umeme...
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 

TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,423
2,000
Joseph Abdallah Lebai, Kerege- Bagamoyo, wilaya ya Bagamoyo, simu 0755282346. Mimi sio tatizo ila ni kuuliza, nililipia nguzo 2 mwaka 2015, ikawekwa nguzo moja, naweza kurudishiwa gharama ya nguzo moja? Ni kwa nini nilipe 350000, wakati eneo nilipo ni mpango wa REA?
Tunakushauri kufika ofisi za eneo husika kuonana na maneja kwa kuwa swali hili ni la madai
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
59,774
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Mnakera sana aisee kukatama umeme hovyo...

Alafu mnakata kwa masaa kibao... Kuzifanyia kazi taarifa zangu ni acheni kukata umeme hovyo...
 

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,023
2,000
Miaka miwili iliyopita nilionana na meneja Bagamoyo, kuhusu kuwekewa nguzo moja tena mbovu akaahidi watashughulika ila mpaka juzi ilipoanguka waliweka mpya ila moja, sivyo nilivyolipia.
 

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,211
2,000
Kijiji cha Merera,wilaya ya Mlimba(zamani Kilombero) mkoa wa Morogoro nguzo zimewekwa tangu mwaka jana mwezi wa tano hadi leo bado hamjapeleka wire za kuziweka.
Wananchi tumechoka kusubiria kama hamna nia ya kuweka wire njooni mtoe nguzo zenu.
CC: TANESCO
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,470
2,000
Tafadhali tusaidie namba yako ya simu yenye whatsApp na Wilaya uliyopo kwa taarifa zaidi
UNACHOKIOMBA HAKITASAIDIA KUTATUA TATIZO.. I hope you know why we are not using our real names... Yaani unataka umjue mtu ndo upate nafasi ya kutatua tatizo lake?
 

TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,423
2,000
UNACHOKIOMBA HAKITASAIDIA KUTATUA TATIZO.. I hope you know why we are not using our real name... Yaani unataka umjue mtu ndo upate nafasi ya kutatua tatizo lake?
Una nafasi ya kutoa taarifa hata inbox kwa kuwa ni vigumu kukuhudumia bila kuwa na taarifa zako.Aidha mteja anahaki ya kuchagua njia inayoweza kumfanya ahudumiwe kirahisi
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,470
2,000
Una nafasi ya kutoa taarifa hata inbox kwa kuwa ni vigumu kukuhudumia bila kuwa na taarifa zako.Aidha mteja anahaki ya kuchagua njia inayoweza kumfanya ahudumiwe kirahisi
Mfano huyo wa Mlimba analiyesema mmeweka nguzo mwaka uliopita hadi leo hamjaweka waya... TO ME NILIDHANI KITU HICHO HAKIHITAJI MAJINA AU DETAILS ZA MTOA TAARIFA
 

Fertile

Member
May 29, 2021
6
45
Hili ni punguzo la nchi nzima ambapo limeanza tarehe 5 June 2021 hivyo kabla ya hapo vijijini bei ilikuwa 177000 na mijini 321000
Baada ya kulipia 27000 kupitia control number inachukua muda gani mteja kuwekewa umeme?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom