Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
474
Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire zimeshawekwa, wananchi wamekuwa wakipeleka form ni zaidi ya miezi mitatu, minne hadi Mitano bila kumuona surveyor, wamekuwa wakienda Tanesco wanaambia surveyor wako wawili gari ni mbili.

Kipindi cha Serikali iliyopita ni ndani ya week moja tu umeme umewaka.

Kwa Mwendo huu Waziri chukua hatua kusaidia wananchi, kwa maana mpaka inafika wanasema serikali hii haisaidii.

TANESCO
 
Mimi nimelipia sasa ni miezi 3 umeme sijapata huku isebanda ni mtihani tupu CCM ni ile ile
 
Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire zimeshawekwa, wananchi wamekuwa wakipeleka form ni zaidi ya miezi mitatu, minne hadi Mitano bila kumuona surveyor, wamekuwa wakienda Tanesco wanaambia surveyor wako wawili gari ni mbili.

Kipindi cha Serikali iliyopita ni ndani ya week moja tu umeme umewaka.

Kwa Mwendo huu Waziri chukua hatua kusaidia wananchi, kwa maana mpaka inafika wanasema serikali hii haisaidii.

TANESCO
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Napenda kutoa shukrani kwa mh.Kalemani,Meneja wa mkoa Tabora na Meneja wilaya ya Urambo kwa kufanikisha kutoa Bill za control number ili wateja waweze kulipia kuunganishwa na umeme wa 27,000 kwa wote bila kujali ni nguzo ngapi au umbali gani kwenda kwa mteja.leo hii nimeweza kupata control number na kuweza kulipia kama alivyotangaza waziri Mh. Kalemani nasubiri kuunganishiwa tu.Hongereni sana kwa hatua hiyo.
 
Back
Top Bottom