BAVARIAN
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 222
- 168
nimetumia mda mrefu kidogo kujaribu kufikiria juu ya ndugu zetu watanzania wenzetu wanavyokufa kibiti pwani na hofu ya wananchi pia wa huko ,, nawaza sana nn chanzo sipati jibu kabisa juu ya kinachoendelea huko , nipo na kijana mmoja wa huko anaogopa hata kwenda kuwasabahi wazazi wake huko yaaani ni full stress amejawa nazo ,,,,,,,,,,, je ww mwenzangu unadhani nn chanzo , nani alaumiwe , nn kifanyike coz inaumiza sana kwa kweli wale ni wenzetu jamani ,,, ebu fikiria kisha dondosha coment yako tuone nn cha kufanya kama raia wema#### Poleni sana kibiti#####