Kinachoendelea Palestina(Gaza) sio Waislamu pekee wanaopaswa kulaani

Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho

Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina

Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.

Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.

Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.

Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.

View attachment 1782175

WHO CARES???

View attachment 1782173

LETS PRAY FOR PALESTINE 🙏
 
Kwa Jf am sure utawapata wapumbavu wakuunge mkono... maana game yako ipo upande mmoja inamaana Israel kaamua tu kuwaua Wapalestina waliokuwa wametulia bila hata uchokozi????? Pumbavu kweli wewe...
 
Wapalestina wajipange vema kujitetea dhidi ya unyama wa Israel,kama wanajua hawawawezi basi wakae watulie wajipange, kuliko kuwarushia mawe wakati Muisrael anarusha makombora mfululizo tena bila huruma yeyote ile.
 
Ila ukisikioa w
Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho

Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina

Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.

Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.

Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.

Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.

View attachment 1782175

WHO CARES???

View attachment 1782173

LETS PRAY FOR PALESTI

Ila ukiwasikiliza viongozi wao na wa kiarabu, wanaongelea waarabu kwanza na pili waislam siyo wanadamu wala watu. Sisi waswahili tunapenda kujipendekeza. Wakati wenzetu wa CAR wakiuana tena kwa sababu za ukoloni wa kikiristo na kiislam, husikii waarabu wakilaani wala hao waislam. Hiyo ni vita yao na marafiki zao wa kizungu waliosaidiana kuwauza waswahili utumwani ukiachia mbali kuendelea kutubagua. Nilipokuwa Ulaya, kuna mzungu alimwambia mpalestina rafiki yangu kuwa mimi ni ndugu yake, jamaa aliruka futi mia kuonyesha asivyo na udugu na mtu mweusi japo mimi ni maji ya kunde. Hivyo, mie wakinyiongana naona sawa tu. Nakumbuka wakati wa awamu ya kwanza hawa wapalestina walituuzia ndege mbovu pia wengine walikamatwa wakiwasaidia wanajeshi wa nduli Amin kwa vile alikuwa muislam.
 
Halafu nchi za Kiarabu ambazo zina utajiri mubwa sana UAE, Kuwait, Saudi Arabia, Qatar na nyingine nyingi hata kukemea zimeshindwa achilia mbali kuwapa msaada hawa wanaoishi katika mateso makubwa ya hao dhalimu wa Israel.
Nenda ujitolee
 
Hayo mauaji ya hao wapalestina yanatia simanzi. Ikizingatiwa kuwa huo mgogoro na Israeli ni wa miaka mingi na hakuna uelekeo wa suluhisho mpaka leo.
 
Alaaniwe Ndugai katika hili,
Vp Kama Jiwe angefufuka afu akagundua alikufa kwa Corona, angewachukuliaje watu wasiovaa barakoa? Hivii mtu akimsogelea si angemuua? Unaingia ikulu hujanawa mikono angekuvunja meno,
😂😂😂🤣
 
usiombe uo mzozo uishe mapema hata kidgo maana biblia inasema vita dhidi ya Israel itapoisha kutatokea njaa kali dunia yote kwa mda wa miaka kadhaa baadae mpinga kristo ataishika dunia kwa kuwapa watu chakula kwa kuwachapa alama ya 666....
Porojo
 
Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho

Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina

Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.

Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.

Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.

Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.

WHO CARES???

LETS PRAY FOR PALESTINE 🙏
Mossad kiboko ya wavaa Kobazi
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom