Kinachoendelea Kenya ni uzalilishaji, ukatili na ujinga dhidi ya walipa kodi

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,182
56,770


Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kuilipa kodi serikali inayopiga watu wake,wakati Kodi hiyohiyo ndio inayowaazibu walipa kodi?

Kuwa Muafrika kunamaanisha kuwa mnyama maana kwa haya dah! Inasikitisha! Maisha ya namna hii ilitakiwa tuwe tumeacha miaka ya nyuma sana!

Matusi ya wazungu dhidi yetu tunayahalalisha sisi wenyewe tukili tu we are nothing!! Humu duniani tunasindikiza tu.
 
Back
Top Bottom