Kinachoendelea huko Afrika Kisini, (Xenophobia) tuseme Imetosha.

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,745
21,196
Kwa hali inayoendelea huko bondeni nchini Afrika kusini siyo sahihi kukaa kimya kwa viongozi au mwenyekiti wa SADC.

Hali siyo nzuri kwa sababu matokeo ya mauaji yanayoendelea pale afrika kusini ni muendelezo wa maumivu ya raia wageni, inapelekea hata nchi zilizo na uwekezaji wa waafrika kusini kupata dhoruba kwenye nchi nyingine.

Nigeria, Zambia nk tayari masoko makubwa aka Supermarket zimevamiwa, kuvunjwa na kuibwa mali.
➡ TUSEME INATOSHA.

Screenshot_20190908-171118.jpg

Screenshot_20190908-171200.jpg

Screenshot_20190908-171025.jpg

Picha hii 👇 inatoa taswira gani kwa tukio kama hili kwetu waafrika?
20190908_170848.jpg
 
Mubashara kutoka Kwazulu-Natal-- Kwaheri Mtwa Mkulu by kabinti ka ludilo
 
Aisee huwaga nakuta comment nyingi za kudiss waafrika ila yako imeua mzee Uafrika ni tatizo hakika
Can you imagine wanachowafanyia wenzao, tena waafrika! The whole of Africa, it is dictatorship, nepotism , ndugunisation killing their political opponents and the like! Unampiga mtu risasi, unamnyima matibabu, unamvua ubunge, unakataza watu wasimwombee, unakataza watu wasivae well wishes T-shirts... halafu wewe unasema ni mtu! Mweusi huyo na laana yake
 
Kwa hali inayoendelea huko bondeni nchini Afrika kusini siyo sahihi kukaa kimya kwa viongozi au mwenyekiti wa SADC.

Hali siyo nzuri kwa sababu matokeo ya mauaji yanayoendelea pale afrika kusini ni muendelezo wa maumivu ya raia wageni, inapelekea hata nchi zilizo na uwekezaji wa waafrika kusini kupata dhoruba kwenye nchi nyingine.

Nigeria, Zambia nk tayari masoko makubwa aka Supermarket zimevamiwa, kuvunjwa na kuibwa mali.
➡ TUSEME INATOSHA.

View attachment 1201788

View attachment 1201789

View attachment 1201790

Picha hii 👇 inatoa taswira gani kwa tukio kama hili kwetu waafrika?
View attachment 1201791
Nani alipiga hii picha wakati mwenzake akiwa na maumivu makali
 
Can you imagine wanachowafanyia wenzao, tena waafrika! The whole of Africa, it is dictatorship, nepotism , ndugunisation killing their political opponents and the like! Unampiga mtu risasi, unamnyima matibabu, unamvua ubunge, unakataza watu wasimwombee, unakataza watu wasivae well wishes T-shirts... halafu wewe unasema ni mtu! Mweusi huyo na laana yake
Sasa south na kuvuliwa ubunge kunahusiana nini jamani
 
Can you imagine wanachowafanyia wenzao, tena waafrika! The whole of Africa, it is dictatorship, nepotism , ndugunisation killing their political opponents and the like! Unampiga mtu risasi, unamnyima matibabu, unamvua ubunge, unakataza watu wasimwombee, unakataza watu wasivae well wishes T-shirts... halafu wewe unasema ni mtu! Mweusi huyo na laana yake
👇
Angalia kauli ya yule kaburu rais wa kwanza wa afrika kusini juu ya mwafika, alitamka kauli inayoonekana mbaya ila inauhalisia, kwamba "Muafrika ukimpa bunduki, ataitumia kuwauwa waafrika wenzake"
 
Back
Top Bottom