Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Ndugu zangu, eleweni tu kwa sasa hawa jaama wanafanya jitihada kubwa kujaribu sana kuwageuza watanzania kuwa mateka wa ulimwengu wa nadharia.
Kwa sasa mtaaminishwa kuna mambo mengi makubwa yanafanyika; kuna mafanikio makubwa yanapatikana; kuna maendeleo makubwa sana yanapatikana;tumepapta watu wenye uwezo usio wa kawaida, n.k.
Yaani wanajaribu kutuweka katika ulimwengu ambao ni artificial wanasahau kabisa kuwa muda ndio utakuja kuwaumbua huko baadae baada ya hali kuja kuwa ngumu ikiwa ni matokeo ya maamuzi yanyofanyika sasa.
Binafsi naona huko mbele kuna hardship kali sana inakuja na ambayo inaweza isiwe na matokeo mazuri sana.
Muda wa porojo unapita; muda wa reality unakaribia.