Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 892
- 1,226
Mimi nadhani hili swala linaloendelea hivi sasa la uvujishwaji wa sauti lengo lake sio kama watu wanavyodhani.Suala hili nimelichukulia katika sura nyingine.
Nadhani hizi ni mbinu za kuongezea chama chao mvuto kwakuwa kilishapoteza mvuto kwa wananchi.
Pia hawa jamaa ni kama wanatuchezea akili,wanajarabu kuhamisha watanzania kutoka kwenye mijadala muhimu iliyokuwa vichwani kwetu toka 2015 kama hali ngumu ya maisha,kubanwa kwa demokrasia,utekaji nk
Ukiangalia kwa kipindi hiki wamefanikiwa kugeuza akili za kiasi kikubwa cha watanzania ambao kutwa kucha wanajadili na kusubiria tamko na kauli mpya na wakisahau malalamiko yao ya kudumu.
Hata huu mchezo wa kuingiza na kutoka wateuzi unalenga kutuona kuna kazi kubwa inayofanyika ya kuwaondoa wapinga maendeleo ili tutekwe akili.
Kumbukeni jamani hizi sauti hazilainishi hali zenu za maisha wala kuongeza demokrasia hapa nchini la hasha.
Hizi kauli zimelenga kutafuta attention ya watanzania na kukiongezea mvuto chama chao kuelekea 2020
Nimachowausia watanzania wenzangu fanyeni kazi hizi habari za kusubiri na kujadili sauti mpya mnatimiza malengo ya wachache.
Nawakumbusha hawa CCM ni kitu kimoja nani aliamini Lowassa angerudii?
#stayawake #bebrave