Kinachoendelea CCM ni 'game of mind'/'mind shift' wanatusahaulisha malalamiko yetu kijanja

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Mimi nadhani hili swala linaloendelea hivi sasa la uvujishwaji wa sauti lengo lake sio kama watu wanavyodhani.Suala hili nimelichukulia katika sura nyingine.

Nadhani hizi ni mbinu za kuongezea chama chao mvuto kwakuwa kilishapoteza mvuto kwa wananchi.

Pia hawa jamaa ni kama wanatuchezea akili,wanajarabu kuhamisha watanzania kutoka kwenye mijadala muhimu iliyokuwa vichwani kwetu toka 2015 kama hali ngumu ya maisha,kubanwa kwa demokrasia,utekaji nk

Ukiangalia kwa kipindi hiki wamefanikiwa kugeuza akili za kiasi kikubwa cha watanzania ambao kutwa kucha wanajadili na kusubiria tamko na kauli mpya na wakisahau malalamiko yao ya kudumu.

Hata huu mchezo wa kuingiza na kutoka wateuzi unalenga kutuona kuna kazi kubwa inayofanyika ya kuwaondoa wapinga maendeleo ili tutekwe akili.

Kumbukeni jamani hizi sauti hazilainishi hali zenu za maisha wala kuongeza demokrasia hapa nchini la hasha.

Hizi kauli zimelenga kutafuta attention ya watanzania na kukiongezea mvuto chama chao kuelekea 2020

Nimachowausia watanzania wenzangu fanyeni kazi hizi habari za kusubiri na kujadili sauti mpya mnatimiza malengo ya wachache.

Nawakumbusha hawa CCM ni kitu kimoja nani aliamini Lowassa angerudii?

#stayawake #bebrave
 
Huna unalolijua wewe kaa kimya,upinzani sasa hvi hauna nguvu yoyote ya kuiogopesha ccm mpk wafanye drama hizi, hao siku hizi wanachukua tu kwa hali yoyote ile,.
 
Kwa kawaida UCHAGUZI huamliwa na matukio yanayojiri wakati wa uchaguzi.

Kiukweli kama kuna chochote kilitokea mwaka jana hata chochote kinachotokea mwaka hakitakuwa na nguvu ya kuamua uchaguzi mwaka kesho.
 
Mimi nadhani hili swala linaloendelea hivi sasa la uvujishwaji wa sauti lengo lake sio kama watu wanavyodhani.Suala hili nimelichukulia katika sura nyingine.

Nadhani hizi ni mbinu za kuongezea chama chao mvuto kwakuwa kilishapoteza mvuto kwa wananchi.

Pia hawa jamaa ni kama wanatuchezea akili,wanajarabu kuhamisha watanzania kutoka kwenye mijadala muhimu iliyokuwa vichwani kwetu toka 2015 kama hali ngumu ya maisha,kubanwa kwa demokrasia,utekaji nk

Ukiangalia kwa kipindi hiki wamefanikiwa kugeuza akili za kiasi kikubwa cha watanzania ambao kutwa kucha wanajadili na kusubiria tamko na kauli mpya na wakisahau malalamiko yao ya kudumu.

Hata huu mchezo wa kuingiza na kutoka wateuzi unalenga kutuona kuna kazi kubwa inayofanyika ya kuwaondoa wapinga maendeleo ili tutekwe akili.

Kumbukeni jamani hizi sauti hazilainishi hali zenu za maisha wala kuongeza demokrasia hapa nchini la hasha.

Hizi kauli zimelenga kutafuta attention ya watanzania na kukiongezea mvuto chama chao kuelekea 2020

Nimachowausia watanzania wenzangu fanyeni kazi hizi habari za kusubiri na kujadili sauti mpya mnatimiza malengo ya wachache.

Nawakumbusha hawa CCM ni kitu kimoja nani aliamini Lowassa angerudii?

#stayawake #bebrave
Huna unalolijua wewe kaa kimya,upinzani sasa hvi hauna nguvu yoyote ya kuiogopesha ccm mpk wafanye drama hizi, hao siku hizi wanachukua tu kwa hali yoyote ile,.
Wee unaongea upuzi gani? Upinzani ipi unaongelea.jidanganye kuwa upinzani hauna nguvu kwanini mnatumia polisi kuzuia mikutano yetu halali za kisiasa?
 
CCM kishanuka....!! Watu wanachukua msingi wako na wenye paa hao wanaondoka nalo.. ujenzi kwishney.
 
Mimi nadhani hili swala linaloendelea hivi sasa la uvujishwaji wa sauti lengo lake sio kama watu wanavyodhani.Suala hili nimelichukulia katika sura nyingine.

Nadhani hizi ni mbinu za kuongezea chama chao mvuto kwakuwa kilishapoteza mvuto kwa wananchi.

Pia hawa jamaa ni kama wanatuchezea akili,wanajarabu kuhamisha watanzania kutoka kwenye mijadala muhimu iliyokuwa vichwani kwetu toka 2015 kama hali ngumu ya maisha,kubanwa kwa demokrasia,utekaji nk

Ukiangalia kwa kipindi hiki wamefanikiwa kugeuza akili za kiasi kikubwa cha watanzania ambao kutwa kucha wanajadili na kusubiria tamko na kauli mpya na wakisahau malalamiko yao ya kudumu.

Hata huu mchezo wa kuingiza na kutoka wateuzi unalenga kutuona kuna kazi kubwa inayofanyika ya kuwaondoa wapinga maendeleo ili tutekwe akili.

Kumbukeni jamani hizi sauti hazilainishi hali zenu za maisha wala kuongeza demokrasia hapa nchini la hasha.

Hizi kauli zimelenga kutafuta attention ya watanzania na kukiongezea mvuto chama chao kuelekea 2020

Nimachowausia watanzania wenzangu fanyeni kazi hizi habari za kusubiri na kujadili sauti mpya mnatimiza malengo ya wachache.

Nawakumbusha hawa CCM ni kitu kimoja nani aliamini Lowassa angerudii?

#stayawake #bebrave
Kwa nini watusahaulishe?
Kwani wasipotusahaulisha ni kitu gani tunaweza kufanya
 
You are right

Nonsense, ingekua kweli ccm wanataka kufanya vitu vya kusahaulisha waTz mwakani, wangetoa ajira mpya, wangepandisha madaraja, wangeruhusu bunge live, wangeruhusu mikutano ya kisiasa kama zamani, wangesitisha kutekana na wasingempokonya tundu ubunge..ila incontrary hayo mambo yanazidi kushamiri na mzee baba hana hofu ya uchaguzi wa taifa bali wa chama ndo hili sekeseke sasa... Kwa hali hii uchaguzi hata kesho magu anaweza kupita hata kwa asilimia 90 maana anajenga barabara.... Mtu mwenye njaa humbadilishi mawazo kwa drama bali kwa chakula
 
Wee unaongea upuzi gani? Upinzani ipi unaongelea.jidanganye kuwa upinzani hauna nguvu kwanini mnatumia polisi kuzuia mikutano yetu halali za kisiasa?
Naomba usinifananishe na mikono iliyochafuka damu za watu mkuu, mm naongelea reality iliyopo ktk hki chama kwa sasa kwamba kwa jinsi upinzani walivyogeuzwa kama wahaini hawana sababu ya kufanya mleta mada alichosema, rejea ya kinondon.
 
Back
Top Bottom