Kinachoendelea BodaBoda Day na Lowassa

kambitza

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
2,045
1,308
Picha za kinachoendelea.... muonekano wa picha mtanisamehe.
 

Attachments

  • 1387701021659.jpg
    1387701021659.jpg
    83.2 KB · Views: 586
  • 1387701055258.jpg
    1387701055258.jpg
    87.4 KB · Views: 673
  • 1387701108051.jpg
    1387701108051.jpg
    80.9 KB · Views: 514
  • 1387701159659.jpg
    1387701159659.jpg
    80.6 KB · Views: 536
Katika kufikiria ndio kuwa hapo EL anatafuta muarobaini wa ukosefu wa ajira. Aanze kuurudisha mfumo wa viwanda ambao na Yeye ni sehemu ya kuuhujumu.
 
Jamani jamani, wekeni picha zaidi tujionee hii kitu! Vp muitikio wa watu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Duuu mbona pikipiki za kijiwe kimoja, ajisimbue na bodaboda make wote wapo chadema
 
tatizo watu mnaugomvi na lowasa na chuki binafsi hivyo hata kazi zake hamuoni ujinga,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
hapo ategemee maumivu hela inaliwa na kura hapati chezea CHDEMA wewe. Hapa Arusha tushazipiga za kutosha hongereni bodaboda dar msikatae pesa ila kura yako ndo siri yako
 
kwa wimbo wa rais, rais, ndo hapo nimesikitika kama kweli vijana hawa wanajitambua au basi watanzania tutakuwa wasahaulifu kiasi hicho!!
 
Back
Top Bottom